Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

Nimekua interested sanaa na kilimo cha GreenHouse, kikubwa nahitaji mchanganuo mzuri wa ghrama au business plan ili niweze kujua naanzia wapi na kwa gharama kiasi gani?

nitumieni contact zenu za sasa ili niweze kuwasiliana nanyi.

Asante sanaa.
Email: kenneth.kapanga@yahoo.com
 
Labda wenzangu mnapata majibu ya watu hawa? Mie nimewapigia simu Mara kibao na nimebandika humu mambo kadhaa wala sijapata mjeresho wowote
 
Mama... mm ningependa sana na nimevutiwa na greenhouse ila shambani kwangu kuna miti mikubwa kama minazi machungwa sasa jee green house itafaa kwa eneo kama hilo
 
Nauza Materials na kusadia ujenzi wa Greenhouse za ukubwa mbali mbali.

Kwa sasa nina materials zinazoweza kucover greenhouse ya ukubwa wa mita nane kwa mita kumi na tano (8x15m), Zina uwezo wa kuzuia jua, kuzuia wadudu na vihatarishi mbali mbali vya mazao.

Bei ni Mil2.5 kwa materials pekeyake yaani 1/8 of an ancre drip lines, Polythene Cover (UV400 Protected sheets), 70% Micron insect Netting...Hizi zitakuwezesha kujenga Greenhouse yako bila matatizo. Kitakachohitajika kutoka kwako ni Wooden Poles (nguzo kama zinazojengewa baa za makuti nk), tanki la lita 500 la maji na maji ya uhakika.

Ntakupatia mafundi na muongozo mzima wa kujenga greehouse yako ili kufanikiwa.

Faida za kulima katika greenhouse ni nyingi mno, ikiwemo matumizi mazuri na sahihi ya ardhi, kwani kiwanja cha ukubwa wa mita 8x15 kinaweza kukupa Nyanya hadi Tani 10 kwa mwaka, Pilipili hoho tani 8 kwa mwaka na mazao mengine mengi yanayolimwa katika controlled environment.

Kuna wataalamu wa kutosha hivi sasa hapa Dar es Salaam wanaoweza kukupa muongozo, mbegu bora na fertilizers za uhakika tuwasiliane kwa simu namba 0785 409821 ili kupeana muongozo.

Karibuni sana.
Ili uweze kufanikiwa katika kilimo hiki, unahitaji maji ya uhakika minimum lita 200 kwa siku kwa ajili ya kumwagilia nyanya kwa matone, Nitakupatia mabomba (driplines) zitakazokuwezesha kufanikisha hili.

NB: Kumbuka Greenhouse inajengwa kwenye eneo lililo wazi, lisilo na miti mirefu inayozuia jua.

Pia ni muhimu kufanya Soil Test na Water Test ili ujue ni kipi unahitaji kuongeza kwenye ardhi yako ili upate mazao ya uhakika naweza kukusaidia kufanya soil na water test kwa gharama nafuu kabisa kutoka nchi ya Jirani (kenya). Gharama ni 250,000 kwa huduma hii pekeyake (Complete Soil analysis & Water Test).

NB::: UJENZI WA GREENHOUSE YA MFANO UMEKAMILIKA. IPO MIKWAMBE KIGAMBONI::: KARIBUNI SANA.

View attachment 140539 View attachment 140540 View attachment 140541 View attachment 140542 View attachment 140543 View attachment 140547

Kuna watu wengi sana wamenipigia na kuomba niwasaidie kufanya mchakato wa kuandika mchanganuo wa kuomba mkopo bank (bankable business plans and proposals) au taasisi za fedha ili wafanikishe mradi huu.

Habari njema ni kwamba, tumeingia makubaliano maalumu na kampuni moja hapa nchini (Biznocrats consulting enterprise) inayojihusisha na kuandika michanganuo ya kibiashara, ushauri wa kifedha, accounts nk na wamekubali kuwaandikia wateja wetu wote michanganuo hiyo kwa gharama ya asilimia moja tu (1%) ya mkopo Minimum 500,000 na wanakuhakikishia hautokosa mkopo wa aina yoyote.

Kama unahitaji huduma hii, tuwasiliane ili tuweze kufanikisha hili pamoja.

Karibuni sana.
Mm napenda kilimo cha hydroponic ndiyo kizuri zaidi maana hakuna habari ya kupima udongo wala nini maji na mavuno yake ni muda mfupi mno
amhydro___BiXJnIyACNe___.jpeg
amhydro_2___BhPLqV6BECZ___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom