Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

Epuka watu wasio na hata chembe ya uzalendo kama huyu mtu tukukaribishe tukulee tukupe cheo tukupe biashara leo umekuwa nyoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:flame:
 
Njaa mbaya sana. Jenerali Ulimwengu hatakaa kuisifia serikali hata siku moja

Huwa unasoma Makala za Ulimwengu?

Au ndo ile wanaita "Pre_conceived notion" kuwa chochote anachoandika Ulimwengu ni kupinga tu.

Hoja yako ya kusifia haina mashiko, hoja iliyoko mezani ni UNAFIKI.

Cheers!!!
 
Nyerere alikuwa na tabia ya ku-wagroom wageni kuwasomesha na kuwapa nafasi serikalini na mashirika ya umma na kuishi na watanzania ili wapate uzoefu (Practical experience) wakienda nchini kwao wakatawale na kuishi vizuri kutokana na uzoefu waliopata Tanzania.

Kuna walioweza ambao ni viongozi kwenye nchi zao na mashirika ya umma kwao nchi nyingi tu kama za kusini mwa afrika,kenya,sudani,uganda, Rwanda,burundi kongo, nigeria n.k.Lakini kuna walioshindikana kwenye huu mpango nadhani na huyu Ulimwengu ni katika walioshindikana wakambwagwa nje.Na kuna watu wengi walioshindikana ambao wako bado kwenye serikali na mashirika ya umma na nchini ambao wanachojua ni kutukana tu serikali hawajijui kuwa wako kwenye hizo nafasi na wameruhusiwa kuishi nchini ili iweje sababu hawajijui ndio maana operation za swaga wakimbizi haramu wasiojijua zitaendelea hazitakoma.

Mkuu I always read your michango humu..na naiheshimu kweli...

But this is too low for you my friend. Na kuishi kote nje..hujui maana ya co-existence? we should celebrate our differences bro! hivi leo ukipata fursa ya kushika nafasi kwenye nchi nyingine..utapenda utakapohukumiwa kwa rangi au where you come from? Nchi hii hata ungewafukuza the so called wageni wote..as you wish..bado utapata sababu ya kuchukia waliobaki! Hiyo dunia yenu ya kujudge watu kwa race,kabila, ukanda, origin nk..has no place in the 21st century!

As MLK once said..judge them not of their colour..but the content of their character...

Masanja
 
Saa nyingine nabaki nasikitika na nyie watu wa Rumumba inaonekana vichwani mwenu mmebakiza matope tu, leo ndio nimejua ukweli kwa kweli inasikitisha sana.

Hiyo Rumumba ullivyoandika na wewe unaonyesha unatokea huko huko anakotokea Ulimwengu operation swaga wahamiaji haramu ijayo ikikukosa UTAKUWA NA BAHATI
 
Mnyarwanda huyo, siku za hivi karibuni alikuwa nyumbani, karudi?

Kama angekuwa raia wa nchi hiyo na uandishi wake wa aina hii angekuwa anamsimanga Kagame asingesaliamika wallah.
Huyu ni hazina kwa taifa letu.
 
Nikikuambia kuwa mimi ni mkamba wa kenya utasemaje?

Mama yako ndiye anajua uraia wa baba yako.Ulimwengu kaungana na Mh Tindu Lissu kuukataa utakatifu wa Nyerere kwa kila jambo mengine ni wazi yalikua si sahihi
 
Mnyarwanda huyo, siku za hivi karibuni alikuwa nyumbani, karudi?

anaandikia Tanzania Daima

teh teh, hatuna Wandishi wa habari,wamebadili fani siku hizi ni wanasiasa.

Jenerali ukuu wa Wilaya uliokwishapata unakutosha, hizi kelele za kutukuna viongozi wa CHAMA na SERIKALI za nini? wewe siyo Mtanzania ndugu, ni makosa makubwa yaliyofanywa na aliyekupa ukuu wa WILAYA. Umri wako hautakupa nafasi yoyote ya kuwa kiongozi katika serikali hii, wewe ni wa enzi hizo.

ULIMWENGU ana matatizo ya kisaikolojia.

hakuna alichokiandika zaidi ya kudhihirisha kuwa siyo mtanzania, hana uzalendo hata kidogo, aende CHADEMA wampe nafasi ya Tumaini Makene.

CHADEMA mtabaki kutetea watu kama akina SLAA, ULIMWENGU, GWAJIMA n.k sndiyo size ya upeo wenu wa kufikiri. nini cha maana alichokisema ULIMWENGU hapo.

Moyo wake utakuwa umesuuzika kuyasema hayo, aendelee kukaa huko huko na macho yake ya kurembua kama kahaba.

wewe endelea kukalia kigogo, tulia hapo hapo kigogo kikuingie vizuri.

Na hawa wageni wanatumiwa sana na wapinzania kuishambulia serikali sijajua nini hasa lengo lao, angalia Hellen Kijo Bisimba, Ulimwengu n.k

kuna haja ya kuanzisha kampeni ya kuwakataa hawa watu, wataliangamiza Taifa.

Watu sampuli hii wanaposti vimistari viingi visivyo na mantiki huku wakitukana wengine na MODS wanawaangalia tu wakiwa wanapeta na kuvuruga mijadala. Huyu anayejiita cybercrime anajadili hoja gani katika hoja iliyowekwa hapo na muanzisha uzi?
Naona anaandika maneno matatu na matusi saba huku akiprovoke watu na kujifanya yeye ni mtanzania saana kushinda kila mtu na naona no one seems to give a damn. Hii inalishushia sana hadhi hili jukwaa na going forward JF will have no meaning kama ambavyo zilikufa website zingine nyingii za miaka hiyo kama darhotwire na kadha wa kadha.
 
Jenerali ukuu wa Wilaya uliokwishapata unakutosha, hizi kelele za kutukuna viongozi wa CHAMA na SERIKALI za nini? wewe siyo Mtanzania ndugu, ni makosa makubwa yaliyofanywa na aliyekupa ukuu wa WILAYA. Umri wako hautakupa nafasi yoyote ya kuwa kiongozi katika serikali hii, wewe ni wa enzi hizo.

hoja mfu hizo.....hata babako umri wake ushapita ila bado unamuheshimu na kuchukua ushauri wake kila unapokuwa umekwama. KW ATAARIFA YAKO UTUU UZIMA DAWA...NA HAYO MADINI ANAYOTEMA GENERALI NDIYO DAWA YENYEWE SEMA NYIE MA-CCM NI SIKIO LA KUFA HAMSIKII DAWA.....
no wounder hoja zako ni matunda ya mfumo mbovu wa elimu ulioupata.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hujui maana ya co-existence? we should celebrate our differences bro!

co-existence sio-co-disturbance kwenye nchi za watu na kuwasumbua wenyeji na watawala wao waliokukaribisha iwe kupitia media au vurugu kwenye maeneo unayo ishi na wenyeji waliokukaribisha.
 
nyerere alikuwa na tabia ya ku-wagroom wageni kuwasomesha na kuwapa nafasi serikalini na mashirika ya umma na kuishi na watanzania ili wapate uzoefu (practical experience) wakienda nchini kwao wakatawale na kuishi vizuri kutokana na uzoefu waliopata tanzania.

Kuna walioweza ambao ni viongozi kwenye nchi zao na mashirika ya umma kwao nchi nyingi tu kama za kusini mwa afrika,kenya,sudani,uganda, rwanda,burundi kongo, nigeria n.k.lakini kuna walioshindikana kwenye huu mpango nadhani na huyu ulimwengu ni katika walioshindikana wakambwagwa nje.na kuna watu wengi walioshindikana ambao wako bado kwenye serikali na mashirika ya umma na nchini ambao wanachojua ni kutukana tu serikali hawajijui kuwa wako kwenye hizo nafasi na wameruhusiwa kuishi nchini ili iweje sababu hawajijui ndio maana operation za swaga wakimbizi haramu wasiojijua zitaendelea hazitakoma.
????????????????????????????....and you call it a fact...
 
????????????????????????????....and you call it a fact...

YAP! IT IS A FACT asingeshindikana angekuwa kiongozi Rwanda au Tanzania lakini kwa kuwa alishindikana kabaki mitaani kubwabwaja kwenye vijiwe vya kahawa na vikurasa vya ndani sana vilivyojificha vya magazeti na vimakala vyake.
 
Ni makala nzuri sana inayofanya tufakari mambo kwa mapana yake pamoja na kuangalia nini kifanyike. mfano:- unafiki wa ccm kuhusu suala katiba mpya. si rais, wabunge, mawaziri, AG, aliyekuwa tayari kusikiliza kilio cha katiba mpya. lakin baadaye walipanga njama ya kuanzisha mchakato, wauhujumu kwa kulinda maslah yao, na hapo hapo waiue hoja ya kutafuta katiba bora kwa taifa. yaliyofanyika mpaka leo sisi wote ni mashahidi. sasa jambo la kusikitisha kabisa, wachangiaji wamemgeuza jeneral ndo hoja kwa matusi na kejeli tele ili kuua hoja. nchi yetu inaibiwa na wezi wakubwa ni viongozi. hivi tunategemea nani aje atukomboe kama sisi upeo wetu ndo finyu kiasi hiki?
 
co-existence sio-co-disturbance kwenye nchi za watu na kuwasumbua wenyeji na watawala wao waliokukaribisha iwe kupitia media au vurugu kwenye maeneo unayo ishi na wenyeji waliokukaribisha.

You dont need to hate a person simply because amesema kitu ambacho wewe hupendi kukisikia. Unaonaje kama na wewe ungeandika post to debunk his argument? Ndo usomi/uelewa huo..hizo name callings have no place dunia ya utandawazi..hizi zilikuwa propaganda enzi za akina Stalin na wenzake...bro..usiturudishe nyuma...kwamba kila kiandikwacho gazetini..lazima kiwafurahishe watwala...(I am happy Kikwete amejitahidi sana kulishinda hili jaribu) Leo kama hukubaliana na Ulimwengu..wewe nawe shika kalamu...elezea upande wako. Tutakusoma. Tutakuelewa.

What I really dislike ni kuona watu kama nyinyi waelewa mnakuja humu na propaganda zisizo na mashiko. Au unadhani kutetea uongozi ndo kipimo cha uzalendo? My friend there are those who tried it..unfortunately they discovered-late- that there is no trophy in doing that. Ofcourse siyo kwamba kila aandikacho Jenerali kina ukweli..no..and in fact thats not my argument. I only challenge you to raise above these petty petty arguments za akina Lizaboni, Cybercrimes et al...those are usual suspects and ofcourse all those in their right mind..we like their perspectives..after all that is what enriches us....hata kama hupendi wanachokiandika..unakiheshimu..mnajibizana kwa hoja..na wala sio matusi (ingawa kwa baadhi yao ni vigumu)..but you my friend? simply because umetofautiana na mtu kwa hoja....au hupendi alichokiandika..uanze kumuita majina? Thats too low..I am sorry mate.

Masanja
 
YAP! IT IS A FACT asingeshindikana angekuwa kiongozi Rwanda au Tanzania lakini kwa kuwa alishindikana kabaki mitaani kubwabwaja kwenye vijiwe vya kahawa na vikurasa vya ndani sana vilivyojificha vya magazeti na vimakala vyake.

Hoja ni unafiki acha kuzingua na madai yako ya kushindikana au kutokushindana, hatuko hapa kujadili hayo makitu yako. Vinginevyo nawe ni MNAFIKI.
 
Hivi kwa nn mtu anapohoji kitu cha msingi kuhusu serikali mnakuwa na lugha za ajabu? Huyu toka kipindi cha Mkapa mlitaka kumfukuza mkashindwa leo ww unahoji uraia wake km nani? Wangapi wanaishi inchini na wananyanyasa watanzania na wanafanya kazi haramu tupu hamuulizi, au kwa kuwa wananufaisha ccm basi. Acha ujinga fikiri tena.
 
Back
Top Bottom