Njaa mbaya sana. Jenerali Ulimwengu hatakaa kuisifia serikali hata siku moja
Nyerere alikuwa na tabia ya ku-wagroom wageni kuwasomesha na kuwapa nafasi serikalini na mashirika ya umma na kuishi na watanzania ili wapate uzoefu (Practical experience) wakienda nchini kwao wakatawale na kuishi vizuri kutokana na uzoefu waliopata Tanzania.
Kuna walioweza ambao ni viongozi kwenye nchi zao na mashirika ya umma kwao nchi nyingi tu kama za kusini mwa afrika,kenya,sudani,uganda, Rwanda,burundi kongo, nigeria n.k.Lakini kuna walioshindikana kwenye huu mpango nadhani na huyu Ulimwengu ni katika walioshindikana wakambwagwa nje.Na kuna watu wengi walioshindikana ambao wako bado kwenye serikali na mashirika ya umma na nchini ambao wanachojua ni kutukana tu serikali hawajijui kuwa wako kwenye hizo nafasi na wameruhusiwa kuishi nchini ili iweje sababu hawajijui ndio maana operation za swaga wakimbizi haramu wasiojijua zitaendelea hazitakoma.
Saa nyingine nabaki nasikitika na nyie watu wa Rumumba inaonekana vichwani mwenu mmebakiza matope tu, leo ndio nimejua ukweli kwa kweli inasikitisha sana.
Mnyarwanda huyo, siku za hivi karibuni alikuwa nyumbani, karudi?
Nikikuambia kuwa mimi ni mkamba wa kenya utasemaje?
Hii safi sana imepasua mfupa
Mnyarwanda huyo, siku za hivi karibuni alikuwa nyumbani, karudi?
anaandikia Tanzania Daima
teh teh, hatuna Wandishi wa habari,wamebadili fani siku hizi ni wanasiasa.
Jenerali ukuu wa Wilaya uliokwishapata unakutosha, hizi kelele za kutukuna viongozi wa CHAMA na SERIKALI za nini? wewe siyo Mtanzania ndugu, ni makosa makubwa yaliyofanywa na aliyekupa ukuu wa WILAYA. Umri wako hautakupa nafasi yoyote ya kuwa kiongozi katika serikali hii, wewe ni wa enzi hizo.
ULIMWENGU ana matatizo ya kisaikolojia.
hakuna alichokiandika zaidi ya kudhihirisha kuwa siyo mtanzania, hana uzalendo hata kidogo, aende CHADEMA wampe nafasi ya Tumaini Makene.
CHADEMA mtabaki kutetea watu kama akina SLAA, ULIMWENGU, GWAJIMA n.k sndiyo size ya upeo wenu wa kufikiri. nini cha maana alichokisema ULIMWENGU hapo.
Moyo wake utakuwa umesuuzika kuyasema hayo, aendelee kukaa huko huko na macho yake ya kurembua kama kahaba.
wewe endelea kukalia kigogo, tulia hapo hapo kigogo kikuingie vizuri.
Na hawa wageni wanatumiwa sana na wapinzania kuishambulia serikali sijajua nini hasa lengo lao, angalia Hellen Kijo Bisimba, Ulimwengu n.k
kuna haja ya kuanzisha kampeni ya kuwakataa hawa watu, wataliangamiza Taifa.
Jenerali ukuu wa Wilaya uliokwishapata unakutosha, hizi kelele za kutukuna viongozi wa CHAMA na SERIKALI za nini? wewe siyo Mtanzania ndugu, ni makosa makubwa yaliyofanywa na aliyekupa ukuu wa WILAYA. Umri wako hautakupa nafasi yoyote ya kuwa kiongozi katika serikali hii, wewe ni wa enzi hizo.
hujui maana ya co-existence? we should celebrate our differences bro!
????????????????????????????....and you call it a fact...nyerere alikuwa na tabia ya ku-wagroom wageni kuwasomesha na kuwapa nafasi serikalini na mashirika ya umma na kuishi na watanzania ili wapate uzoefu (practical experience) wakienda nchini kwao wakatawale na kuishi vizuri kutokana na uzoefu waliopata tanzania.
Kuna walioweza ambao ni viongozi kwenye nchi zao na mashirika ya umma kwao nchi nyingi tu kama za kusini mwa afrika,kenya,sudani,uganda, rwanda,burundi kongo, nigeria n.k.lakini kuna walioshindikana kwenye huu mpango nadhani na huyu ulimwengu ni katika walioshindikana wakambwagwa nje.na kuna watu wengi walioshindikana ambao wako bado kwenye serikali na mashirika ya umma na nchini ambao wanachojua ni kutukana tu serikali hawajijui kuwa wako kwenye hizo nafasi na wameruhusiwa kuishi nchini ili iweje sababu hawajijui ndio maana operation za swaga wakimbizi haramu wasiojijua zitaendelea hazitakoma.
????????????????????????????....and you call it a fact...
Ngoja nami niulize,
Hivi Jenerali Ulimwengu ni mtanzania?
mkiambiwa ukweli hilo ndilo swali lenu, hata kwa Salim Salim alipotaka kugombie urais mliuliza hivyo hivyoNgoja nami niulize,
Hivi Jenerali Ulimwengu ni mtanzania?
co-existence sio-co-disturbance kwenye nchi za watu na kuwasumbua wenyeji na watawala wao waliokukaribisha iwe kupitia media au vurugu kwenye maeneo unayo ishi na wenyeji waliokukaribisha.
YAP! IT IS A FACT asingeshindikana angekuwa kiongozi Rwanda au Tanzania lakini kwa kuwa alishindikana kabaki mitaani kubwabwaja kwenye vijiwe vya kahawa na vikurasa vya ndani sana vilivyojificha vya magazeti na vimakala vyake.
Ile hamisha hamisha ya wakimbizi sijui aliikwepaje?