Japo ni mgeni jamvini haina haja ya kumponda na nyie mliojiunga 2007,je wa 2006 wangewakashfu namna hiyo mngekuwa na guts za kuchangia? Wapi waliposema lazima post ya kwanza lazima usalimie wanajamii? Acheni upupu yani kuna watu humu wao ndo wanajifanya jf ndo waanzilishi wakati ni makanjanja tu,weupe wanatumia net za bure ofisini,acheni ujinga changieni mada na sio upupu wenu huo,mpya jf so what? Je kama alikua anatumia I'd nyingine na akapigwa ban?
Nakubaliana na wewe kabisa jk iweje awazungunzie Tanesco tu? Kama yeye ndo rais ana haki ya kuzungumza kila jambo,mbona yeye tu na tanesco au kuna maslahi yake hapa,maji ni tatizo kuu na sugu mbona alizungumzii,foleni barabarani za kutisha mbona halizungumzii kila mwisho wa mwezi? Na me nilijuuliza hv jeikei ni msemaji wa tanesco siku hizi?
Ni mtazamo tu masela msijenge chuki
safari hii nchi inaongozwa na mission town, anything can happen.
wewe ungepiga mswaki kwanza ndo uje hapa,sasa unakurupuka na mitongotongo yako huku kinywa kinanuka unakuja kutupigia miayo yako inayonuka hapa.
Bei mpya ya umeme utafanya watu wengi warudi kijijini
Atakayekuchukia kwa haya uliyosema hana haja ya kupimwa, ni moja kwa moja Mirembe wodini. Mimi mwenyewe niliingia hapa bila kusalimia, na ndio mila za kabila letu na hata nikiondoka sitaaaga. Kilichowauma ni kuwa MGENI kaja na FUKO LA UKWELI, sasa unawawasha.
wachonganishi na ni wakuda sana ile mbayakawaida watu walio KATIKATI wote ni vibaraka...tena njaa...kuku wakienyeji!!
Tabu tupu@??
ni true, ili nalo neno, hii ni mali yake ivyo lzm atetee maslai yake na familia yake.richmond/dowans/symbion si za jk?conflict of interest
kwan katika mahitaj ya muhimu umeme c mstari wa mbele???au we hujui kwamba bila umeme hakuna maendeleo???hoofyoo kabisa wwe...!!!!
Kuna watu wana-bore sana humu jamii forum as if wao wanajua kila kitu au wana-rights zote kuliko wengine,thanks mkuu shizukan kwa kulitambua hilo
Atakayekuchukia kwa haya uliyosema hana haja ya kupimwa, ni moja kwa moja Mirembe wodini. Mimi mwenyewe niliingia hapa bila kusalimia, na ndio mila za kabila letu na hata nikiondoka sitaaaga. Kilichowauma ni kuwa MGENI kaja na FUKO LA UKWELI, sasa unawawasha.
Japo ni mgeni jamvini haina haja ya kumponda na nyie mliojiunga 2007,je wa 2006 wangewakashfu namna hiyo mngekuwa na guts za kuchangia? Wapi waliposema lazima post ya kwanza lazima usalimie wanajamii? Acheni upupu yani kuna watu humu wao ndo wanajifanya jf ndo waanzilishi wakati ni makanjanja tu,weupe wanatumia net za bure ofisini,acheni ujinga changieni mada na sio upupu wenu huo,mpya jf so what? Je kama alikua anatumia I'd nyingine na akapigwa ban?
Nakubaliana na wewe kabisa jk iweje awazungunzie Tanesco tu? Kama yeye ndo rais ana haki ya kuzungumza kila jambo,mbona yeye tu na tanesco au kuna maslahi yake hapa,maji ni tatizo kuu na sugu mbona alizungumzii,foleni barabarani za kutisha mbona halizungumzii kila mwisho wa mwezi? Na me nilijuuliza hv jeikei ni msemaji wa tanesco siku hizi?
Ni mtazamo tu masela msijenge chuki
wewe ungepiga mswaki kwanza ndo uje hapa,sasa unakurupuka na mitongotongo yako huku kinywa kinanuka unakuja kutupigia miayo yako inayonuka hapa.
kikwete kama rais lazima azungumzie masuala yote ya kitaifa ikiwemo tanesco.