chiko
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 580
- 245
Katokea swahiba yangu kazini, kanipa kisa kimetokea mtaani kwao. Moto mkubwa sana ulitokea mwendo wa masaa ya manane usiku...katika patashika mtaani, ilikuwa mguu niponye, moshi na kiza kutanda kila mtu mbio huku na kule.
Rafiki yangu anambia, hajawahi kuona balaa na vituko kama alivyo ona siku hio....kumetokea watu wamevaa taulo viunoni, wengine vikoi, wengine kaptula ndogo...makufuli mbali mbali,mume kavaa kufuli ya mkewe, mke nae kavaa ya mume; chaa ajabu wengine walitoka vile walivyo zaliwa!!!!.
Kuna tabia, ya kina baba, haswa wenye mabibi kujiachia wakati wa kulala.. vijana wengi utapata wana kaptula ama hulala na nguo zao, wanawake hawakosi angalau kanga mmoja , lakini kina baba!! jamani hebu jaribuni kuwa makini wakati wa kulala. Isije tokea dharura watu waona makengelele yakigongana na kutishia watoto mtaani!!!!