Inategemea na nje,co uje na degree yako toka congo utegemee utapewa kipaumbele.
Sujui kama ni tanzania yote, lakini mimi binafsi namjua mtu ambae baada ya miaka mitatu ya masomo ya shahada ya kwanza huku uk jamaa alifeli vibaya kiasi hata third walimu walishindwa kumpa, matokeo yake wakampa BTech HND akaondoka zake. Nasikia hivi sasa yuko huko na ana kazi ya wadhifa, na amini kujuana juana na wakubwa kumemsaidia sana.hapo ipo kazi, yaani unamaana mtu akija na third class kutoka marekani au uk atapewa kazi haraka kuliko aliye na first class degree kutoka chuo chochote cha tanzania? Hii si kudharau au kutothamini standard za masomo ya vyuo vikuu nchini?