Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How Wakati Tunanunua Bulk?.

Total wafanyakazi wake hawaibii wateja mafuta kama huko kwengine. Nikiweka mafuta, kwa wiki safari ya kwenda ofisini na kurudi nyumbani, hua sina mawazo lakini siku nikiweka mafuta huko kwengine. Mafuta ninayoweka kwa matumizi ya wiki same route. Hua yanaisha ndani ya siku 3 au 4. Total wao nagonga siku 7 mpaka 8.
 
Pascal Mayalla Kutokana na Uzoefu wangu TOTAL angalau wafanyakazi wao waaminifu. Hakuna wizi kwenye Pump zao.
EWURA Nao sasa hawakagui tena wame wekwa sawa .
Kuna wakati nilimwambia usoni mmiliki wa Puma ya Uhutu heights...sheikh kanzu kubwa lakini unapunja watu kwenye niashara ? Hakika hio ni dhambi kubwa sana.
Akanuna na mimi.
GBP pump zao kidogo ziko poa lakini kuna walakin tatizo wafanyakazi wezi. Ukizubaa anakujazia alipoa cha mwenzako then watakwambia machine mbovu ya risiti.
Ukitaka usipunjwe na usiibiwe nunua dumu na weka humo.
Tatizo kubwa ya Hizi service Station ni wizi. Wanajua nama ya kuchezesha pump na kukuwekea upepo !
Kutokana na uzoefu PUMA ndio worst kabisa kwa wizi na kuchezea pumps.
Moja vituo wezi kabisa ni Puma ya karibu na Uhuru Heights Ali Hassan Mwinyi road...ni Wezi wakubwa
Mara nyingi taxi hupenda kuchukua ma dumu ili kujaza mafuta kwa sababu ya wizi. Bahati mbaya serikali wakapiga marufuku kutumia maadumu. Bila ya shaka ilikua ni shinikizo la Puma &co.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wengine wezi.
Gari ninalotumia lina pima kioa mafuta unayoseka ni lita ngapi zinaingia....Puma ni wezi.
Total ni afadhali
Ewura wakague hizi pumps kuna wizi mkubwa sana unafanyika

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Maji yanaanza kugeuka kuwa mvuke kwenye nyuzi joto 100, hivyo ukiona mtu anajifukza mvuke tambua kuwa joto la huo mvuke ni hilo na kuendelea.
Mkuu JFK, hiyo nyuzi 100c ni boiling point ya maji, yaananza kugeuka mvuke yakifikia tuu kiwango cha latent heat of vaporization from 56c
Niliizungumza hapa
Mkuu Bujibuji, kuna vitu humu, watu kazi yenu ni kusema tuu, ethanol inakuwa produced kiwandani kwa process ya fractional distillation, kutokana na different boiling points kwenye latent heat of vaporization, ikiisha boil na kuwa vapour inakuwa condensed kwenye condenses na kupata ethanol hivyo automatically, ku produce little ya ethanol ni costly zaidi kuliko kurefine crude oil, nani achanganye ethanol na petrol, kuhusu thinner sijui cost, but its more expensive kuliko mafuta ya taa.

P.
P
 
Nakupa tu taarifa mafuta yote nchi hii yanaletwa na kampuni moja tu inayoshinda bidding sasa swala la total kuwa bora mafuta sijui nn ni itakadi na kwa sasa hakuna mpuuzi anaechakachua na HVO vituo vyote vinaendeshwa na waswahili hao hao sio total,puma wala Oryx
Anacho kisema Pasco ni ukweli asilimia mia, tusiongee bila kufanya tafiti mzee..
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali,
Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How?!.

Juzi kati katika kusheherekea Sikukuu ya Wapendanao Valentine, Kampuni ya Total Tanzania ilitoa punguzo la TZS 70 kwa kila lita ya mafuta utakayo nunua katika vituo vya Total, hivyo kama kawaida ya Watanzania, tunavyopenda miteremko, na mimi nikiwa ni mmoja wa Watanzania hawa, hivyo nikachangamkia fursa.

Kwenye vituo nikakumbana na adha ya misururu mirefu ya magari makubwa, ya kati, ma SUV, madogo, taxi, Uba, hadi Bajaj na Boda Boda, zote zimesongamana vituo vya Total kujaza mafuta.

Tena kufuatia punguzo hilo, hata wale wanaojaza mafuta kidogo kidogo, leo nao wamejikakamua kujaza half tank or full tank, sasa just imagine uko nyuma ya SUV tatu za Range Rover, sijui full tank yake ni litters 200, basi utasubiri mpaka!, afadhali mbele yako iwe ni Bajaj na Boda Boda.

Kufuatia fole hizi kwenye vituo vya Total, nikajiuliza, yaani magari yote haya yanajazana vituo vya Total ili tuu kuchangamkia punguzo la Shilingi 70 kwa lita?.

Hivyo nikawahoji baadhi ya madereva, wasikilize wanavyosema kuhusu mafuta ya Total

In short wengi wamejibu kuwa kwa Tanzania, mafuta ya vutuo vya mafuta vya Total, ndio the best.

Swali, jee kuna ukweli kuwa mafuta ya Total, they are the best?.

Kwa vile Tanzania tunaagiza mafuta kwa bulk procurement, mafuta yote yanaletwa na waagizaji wachache walioshinda zabuni, sasa inawezekana vipi mafuta ya Total ndio yakawa the best, huku mafuta yote yameletwa pamoja?.

Paskali

P
 
Juzi nimeweka mafuta Barrel Petrol Station ya kijitonyama mafuta yanaisha kwa speed ambayo sijawahi kuona..

Yale sio mafuta aisee....
 
Kabla ya kusifia sana naomba unipe faida ya hicho kiambata excellium kwenye mafuta?? Na mafuta yakikikosa yanakosaje ubora?
Mkuu Gallius , karibu pande hizi

P
 
Nauza dawa ya Chango kwa wanawake na ngiri kwa wanaume dawa yet no mchanganyiko wa dawa 12 kutoka milima ya usambara dawa hi inatibu matatizo yafuatayo

Kuumwa miguu na mgongo
Kuvimba miguu na miguu kuwaka Moto
Kuwahi kileleni kwa wanaume na kuchelewa kileleni kwa wanawake
Kuongeza utelezi hivyo kufurahi tendo la ndoa kwa wanawake

Inatibu kuwahi kupata hedhi au kuchelewa kupata hedhi. Inatibu pia matatizo ya uzazi na kuongeza hamu ya kula kwa wale wasiopenda kula

Dawa zetu zinapatikana Soni Lushoto kwa Mzee Chakua Chakua na unaweza kutumia kwa basi la Kiluwa kwa wakazi wa Dar na kwa Arusha na Moshi tutatuma kwa Kibomboi

Dawa zetu zimesaidia wengi na hazina uhusiano wowote na matambiko walamizimu

Mawasiliano
bonifacekcharles@gmail.com
0624109061
0676780419
Dawa zetu zinapatikana Kila siku lakin zinatumwa kwa njia ya mabasi siku ya jumatano jumamosi na jumatatu
Mghoshi naona umedandia treni hapo kohogwe!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali,
Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How?!.

Juzi kati katika kusheherekea Sikukuu ya Wapendanao Valentine, Kampuni ya Total Tanzania ilitoa punguzo la TZS 70 kwa kila lita ya mafuta utakayo nunua katika vituo vya Total, hivyo kama kawaida ya Watanzania, tunavyopenda miteremko, na mimi nikiwa ni mmoja wa Watanzania hawa, hivyo nikachangamkia fursa.

Kwenye vituo nikakumbana na adha ya misururu mirefu ya magari makubwa, ya kati, ma SUV, madogo, taxi, Uba, hadi Bajaj na Boda Boda, zote zimesongamana vituo vya Total kujaza mafuta.

Tena kufuatia punguzo hilo, hata wale wanaojaza mafuta kidogo kidogo, leo nao wamejikakamua kujaza half tank or full tank, sasa just imagine uko nyuma ya SUV tatu za Range Rover, sijui full tank yake ni litters 200, basi utasubiri mpaka!, afadhali mbele yako iwe ni Bajaj na Boda Boda.

Kufuatia fole hizi kwenye vituo vya Total, nikajiuliza, yaani magari yote haya yanajazana vituo vya Total ili tuu kuchangamkia punguzo la Shilingi 70 kwa lita?.

Hivyo nikawahoji baadhi ya madereva, wasikilize wanavyosema kuhusu mafuta ya Total

In short wengi wamejibu kuwa kwa Tanzania, mafuta ya vutuo vya mafuta vya Total, ndio the best.

Swali, jee kuna ukweli kuwa mafuta ya Total, they are the best?.

Kwa vile Tanzania tunaagiza mafuta kwa bulk procurement, mafuta yote yanaletwa na waagizaji wachache walioshinda zabuni, sasa inawezekana vipi mafuta ya Total ndio yakawa the best, huku mafuta yote yameletwa pamoja?.

Paskali

Happy Valentine's day!.
Totalenegies kama kawaida yao, pita jaza ujazwe!.
Kwa watu wa bagamoyo rd, mambo yote totalenegies Oyster Bay Service Station.
Happy Valentine's Day

P
 
Back
Top Bottom