mgen JF-Expert Member Nov 18, 2010 22,631 8,417 Feb 17, 2011 #1 Wana jf kama mnakumbuka tukio la mbagala lilitokea wakati tunapeleka askari wetu Dafur. Hili nalo linatokea wakati tunapeleka askari wetu Dafur. Great thinkes hebu kuneni vichwa nyinyi mu wadau ktk USALAMA WA NCHI YETU. KUNANI?
Wana jf kama mnakumbuka tukio la mbagala lilitokea wakati tunapeleka askari wetu Dafur. Hili nalo linatokea wakati tunapeleka askari wetu Dafur. Great thinkes hebu kuneni vichwa nyinyi mu wadau ktk USALAMA WA NCHI YETU. KUNANI?