hahahahah naomba nisiongee chochote kwani jioni hii naenda kushiriki Meza ya Bwana nitaharibu maandalizi yangu ila next wiki lazima ni-comment hapa kwa undani zaidianakosea mambinu, anakuta kitu kimeshatinga kwenye mtando mwingine..........anaanza oooh!! ww vipi, sijui nn na nn.
wanahanagika hata hujui kama anasikilizia kitu au vipi.....hujui anaumia aua anafurahia..