Kumekuwa na ongezeko kubwa la simu zisizokidhi viwango vya ubora hivyo
kusababisha majanga (ajali) wakati wa matumizi wa simu hizo.
Je umewahi kununua simu ukapatwa na tatizo kama kulipuka ikiwa mfukoni
kwenye charger ama wakati wa kupokea simu, n.k?
Tufahamishe ni simu aina gani, model gani, na ni ajali ya namna gani ulipatwa
kwa kutuma ujumbe wenye mririko ufuatao.
ajali*aina ya simu*model ya simu*aina ya ajali kisha tuma kwenda 15568
mfano: ajali*Nokia*X2-01*simu ililipuka wakati naongea na simu. kisha tuma kwenda
15568. Kwa sasa huduma hii inapatikana TIGO na VODACOM pekee ni matarajio yetu hadi
mwisho wa wiki tutakua tayari na mitandao yote.
Ili tuweze kupata taarifa za uhakika na sahihi please usitume ujumbe kama hujawahi kupata hilo tatizo
tunaomba ushirikiano wenu. kwa maoni tuma email: info@gmconsultz.com