Je, wewe ni kamanda (mwanachama) kwelikweli au ni shabiki tu?

mashami

Senior Member
May 8, 2012
183
27
mara nyingi tumekuwa watetezi wa CHADEMA humu jukwaani na popote magamba wanapojaribu kupotosha ukweli...,.je wewe ni mwanachama halali na unatimiza wajibu wa uwanachama?
hebu tufungukeni apa!

MIMI NI MWANACHAMA WA CHADEMA NO.CDM 0545322 TAWI LA KIMANDOLU
ARUSHA.
 
Mi Mwanachama lakini ambacho nadhani kipo ni kuwa CDM hawana register ya wanachama katika matawi yao; na hii inatokana na wanachama wengi kujiunga kipindi cha mikutano hivyo inakuwa ngumu kuchukua majina yao.
na hili lipo hata kwenye tawi letu hapa korogwe
 
mi sina chama chochote ila naipenda chadema ikiwa ni chama makini yenye kupigania maslahi ya nchi
but i love chadema
 
mimi mwanachama wa muda mrefu tu zaid ya miaka mitatu...
napenda chadema japo si mchaga kama wengine wasemavyo
 
Dah hilo nalo neno! Hakika watajitokeza wachache tu wenye kadi. Mimi sina kwakweli.
 
Mimi ni mwanachama wa CHADEMA nilijiunga pale PANSIASI MWANZA mwaka juzi....najivunia kushawaishi vijana 12 kujiunga na CHADEMA.....na wameonyesha kuwa hawakujiunga kunifurahisha,wako hai kabisa na wanaendelea kuvuta wengine......
 
:peace:
mara nyingi tumekuwa watetezi wa CHADEMA humu jukwaani na popote magamba wanapojaribu kupotosha ukweli...,.je wewe ni mwanachama halali na unatimiza wajibu wa uwanachama?
hebu tufungukeni apa!

MIMI NI MWANACHAMA WA CHADEMA NO.CDM 0545322 TAWI LA KIMANDOLU
ARUSHA.
Je unashiriki kikamilifu shughuli zozote za chama au ni mwananchama jina? :llama:
 
Mimi ni mwana chama tangu baada ya NCCR kufa/ kuzimia/ samahani kulala usingizi/...../ kadi yangu nime sahau nyumbani nitakuletea baadae
 
Mimi ni mwenyekiti wa tawi na nina register ya wana chama wote katika tawi langu, pia nimetengeneza databas, hii ni kazi ya msingi ya kila kiongozi wa tawi, kama kwenu hawafanyi hivyo watimueni mapema kabla Dr. Slaa hajafika huko.
 
Mi Mwanachama lakini ambacho nadhani kipo ni kuwa CDM hawana register ya wanachama katika matawi yao; na hii inatokana na wanachama wengi kujiunga kipindi cha mikutano hivyo inakuwa ngumu kuchukua majina yao.
na hili lipo hata kwenye tawi letu hapa korogwe

wasiliana na ofisi ya chama karibu nawe mcheki namna ya kutatua hili!
 
Back
Top Bottom