Je wewe mbunifu wa kutengeneza FM radio transmitter na kufunga radio jamii 50km?

london

JF-Expert Member
Sep 12, 2010
221
143
Natafuta mtu anayeweza kufanya ubunifu wa kienyeji kutengeneza FM Radio transmitter kwa ajili ya kutengeneza kituo cha Radio cha jamii na kuweza kurusha matangazo kwa umbali wa kilomita kati ya 50-80. Baada ya transmitter na Antena kufungwa na kufanyakazi, taratibu zote za kiserikali kuomba vibali vitapatikana.
Hii ni nafasi pekee ya wabunifu ili kuionyesha jamii kuwa watanzania tunaweza bila kutegemea vifaa aghali kutoka nje ya nchi. Vifaa vingine km mixer, mic, vipo. Km ni wewe ni PM, nipe email au km wamjua mbunifu basi nitumie mawasiliano yake nitamtafuata.
 
kuna jamaa yangu tumesoma nae primary huo utundu anao sana!

Mimi ninayo private na ninaweza kutengeneza Radio stations kwakutumia FM-wireless microfone na Receivers.Ambayo inaweza kusambaza matangazo si chini ya km 10 mahali nilipo na zaidi. na inaweza kutumia solar au Batry kama source power Na inashika ndani ya FM band tu.Kama unahitaji nitafute kwa 0714596405 au email:eliyudmsigwa@gmail.com
 
Back
Top Bottom