Je, Watumishi wa bunge wanalipwa sawa na wabunge?

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Wsalaam Viongozi...

Kuna nafasi ya kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge iko mezani mwa rafiki wa mdogo wangu. Kala Shavu hilo.

Sasa jana dogo ambae ni mtumishi wa umma halmashuri kaja kuniuliza "eti bro waandishi wa taarifa rasmi za Bunge wanalipwa sawa na wabunge?

Kwanza kwa kuwa sikutaka kumpa jakamoyo ikanibidi nimuulize nani kapata kazi huko? Ndo katika maelezo yake nikagundua yafuatayo.:-

1. Amepewaa taarifa zisizo rasmi pengine ile tuite kurushwa roho na mhusika.

2. Anamuonea wivu pengine anawaza kila aliyeko bungeni ni mbunge ( analipwa sawa na wabunge)

3. Hata rafiki yake nae hajuii maslahi ya kazi anayoenda kuifanya.

Sasa basi....

Japo sikumpa jibu dogo la moja kwa moja ila nilitaman kupitia jukwaa hili nijuzwe yafuatayo...

1. Mishahara yao ikoje? Wanalipwaje?

2. Scale zao za mishahara ni tofauti na hizi TGS?

3. Je, wanalipwa posho sawa na wabunge?

Naomba kuwasilisha......
 
Mbaya zaidi na cha kusikitisha utakuta anayeuliza haya ni graduate mwenye degree.

Elimu ya Tanzania mwarobaini pekee ni kuifanyia overhaul.

Tunatowa wahitimu ambao hata basic knowledge hawana, ukimuweka degree holder wa leo na Mzee aliyemaliza middle school ni mbingu na Ardhi, atakachomzidi ni uwezo wa kutumia package za computer tu basi.
 
Back
Top Bottom