Elections 2010 Je wapiga kura wanajifahamu?

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wana jamii,nimewaza sana bila kupata jibu.Je watu wote wanaohudhuria kampeni za Urais wa SISIMU wanaenda kusikiliza na kufuta nini.Mi nadhani kwa mtu mwenye uelewa mzuri hana haja ya kusikiliza Kampeni za Kikwete,tunafahau utendaji wake kwa miaka 5,kuna haja gani ya kwenda kumsikiliza?Hatakua na jipya zaidi.Cha muhimu ni kuwasikiliza wapinzani.Elimu inahitajika sana ili watu wajitambu na kuacha kupoteza muda wao muhimu
 
Back
Top Bottom