Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitianilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu

Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.

Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini

Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika
Yaani kwa jinsi unavyomwombea na kumshukuru akiamua kuwa mtu wa ovyo anaweza kupasha..., sema uombe aendelee kuwa mstaarabu hivyo hivyo
 
Kama mahusiano yaliisha basi yameisha, kusiwe na mazoea ambayo yatapelekea kupasha viporo, hata siku mkionana haitakua rahisi yaani mtaanzaje kukumbushia na hamjazoeana?. Nimejifunza ukiachwa achika.inawezekana kusahau kabisa Exs
Sawa mkuu, Namna ya kuachana na Ex kuna njia mbili,
. Moja mnachana kwa vita ya maji maji,
. Mbili mnachana kwa Amani kabisa bila mikuruzano yeyote ile,
Sasa ukiangalia sababu hizo mbili
 
Sawa mkuu, Namna ya kuachana na Ex kuna njia mbili,
. Moja mnachana kwa vita ya maji maji,
. Mbili mnachana kwa Amani kabisa bila mikuruzano yeyote ile,
Sasa ukiangalia sababu hizo mbili
Ni kweli mkuu, ila tu kama tayari anaitwa Ex hamna haja ya kuwa na mazoea,iwe kwa amani au vita mngekua mnapendana kweli msingeachana bana. Ex asahaulike na asirudiwe🏃
 
Wanasahau sana. Japo mazingira yaki wakutanisha wanarika kirahisi.

Mfn. Ameenda semina akakutana na x wake huo mkoa aliopo, hapo jamaa akijiongeza ni simple tu.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app

Japo mazingira yaki wakutanisha wanarika kirahisi.
😬😬, Zinaaza simu, nakuja maeneo ya kwenu huko, fanya mpango tuonane,..
 
Kama mahusiano yaliisha basi yameisha, kusiwe na mazoea ambayo yatapelekea kupasha viporo, hata siku mkionana haitakua rahisi yaani mtaanzaje kukumbushia na hamjazoeana?. Nimejifunza ukiachwa achika.inawezekana kusahau kabisa Exs
Hawala hana taraka, ukitaka unampata.

Mwanamke ambaye once alikuvulia chupi, huwa Hana ujanja ukimtaka tena.
 
Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝.

Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba "EX" wangu wote, hata kama walikuwa na uchungu kuhusu kutengana, kamwe hawakatai kukutana nami ninapowaomba tena Baraka zao, awe ameolewa au awe hajaolewa wananipa naogelea kama kawaida.

Sijawahi kukutana na upinzani wowote kutoka kwa "EX" zangu, hata wale ambao hatujawasiliana kwa miaka kadhaa kutokana na umbali au sababu nyingine za kibinadam. Kila mara tunapokutana, tunapata "BURUDIKO," hata kama wapo katika mahusiano mapya.

Hii inanifanya kuwa na wasiwasi kwa sababu najisikia kama vile wasichana nilio nao katika uhusiano nao wanafanya hivyo hivyo, pia kushindwa kuzuia ombi la kukutana na "EX" zao, hata kama wananithibitishia hawatarudi nyuma. Naona Ni ngumu sana kuamini, hasa inapokuwepo nafasi ya kukutana tena.

Kauli yangu ni moja tu, Kula Tunda Mara Moja Waachie Wezio 😎😎.
Ulitaka kusemaje kwani kama mmeachama kwa AMANI ni rahisi lkn kama ukipigwa tukio ni vigumu kukutana
 
Back
Top Bottom