CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,257
- 12,876
Ndio, alimuoa dada mmoja anaitwa Magreth Semkwe.
Anaishi Shinyanga.
Mh... mbona kwenye wasifu wa marehemu hawakusema kama marehemu aliacha mke???
Ndio, alimuoa dada mmoja anaitwa Magreth Semkwe.
Anaishi Shinyanga.
Hahahahahaha!21. Osama
22. Mwanamalundi
23. Kanumba
24. Steve Y2K.
Na walizaa nae mtoto mmoja wa kiume.Mh... mbona kwenye wasifu wa marehemu hawakusema kama marehemu aliacha mke???
Na nyie tunawatega ili msiende kuoa Wazungu.
Na walizaa nae mtoto mmoja wa kiume.
Ha ha ha ha ha ha ha!ngoja nianze kula vyangu kabisaaaa!Hii mada imenifanya nipige hesabu ya wa baba walitutoka hapa mtaani na kuwaacha wajane na kwa haraka haraka nimepata idadi ya wanaume 8.
Nawaomba Mtambuzi na MziziMkavu mtudadavulie hili
:doh: Kumbe... sijajua!!!
Dah!Kwanza kibaolojia inatambulika hivyo kwamba female have life longer than male! Sababu za kimazingira ya kidunia zinasambambishwa ufaji wa wanaume mapema!
Mf. Kazi zote zenye ku'risk maisha hufanywa na wanaume .
Angalia kazi hizi chache nyingi hufanywa na wanaume (japokua female hujichanganya nazo bt kw kiwango kidogo sana)
1. Motorvehicle accidents
2. Durin wars event.
3. Fishin'
4. Minin'
Hata commited suicide data zinaonesha wanaume wanaongoza.
Wezi, vibaka, majambazi , matapeli (wazee wa magumashi, vibaka statistics zinasoma wanaume wanaongoza.
Kazi hatarishi za viwandani pia zinatajwa uchangiaji.
Maradhi such as cancer , Tb, wanaume wanaongoza kufuatia matumizi yao ya sana visababishi vya maradhi hayo.
Statistics za kidunia zinasoma avarage ya life kwa mwanaume ni 72 yrs kwa 79 kwa wanawake!
Aidha hadi sasa statistics za kidunia zinatambua binadamu aliyeishi muda mrefu , pengine kupita wote ni Bi. Jeanne Calment (French citizen) alikufa na 122 yrs, born at 1875 and die 1997 na hilo ndiyo somo langu la leo.
We mwenyewe si umeona kimwana?au bcoz wanaume tulitangulia kuumbwa?Mjeda huo utafiti wako balaa.
Inakatisha tamaa ya kuikimbiza shillingi mkuu.Aisee...Hata mm nilishawahi jiuliza hii kitu...Sijui ni kwanini...
Hapo kwenye red, hivi alikuwa na ndoa????
Mh... mbona kwenye wasifu wa marehemu hawakusema kama marehemu aliacha mke???
We mwenyewe si umeona kimwana?au bcoz wanaume tulitangulia kuumbwa?
Hahahahahaha!
Huyo nur 22 umenikumbusha mbaaaali!