Je Wanaume Tunajua Kitu Tulichonacho Mwilini Chenye Majina Mengi Kuliko Kitu Kingine?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Katika mwili wa binadamu tunavyojitambua kuna kitu ambacho kimepewa majina mengi? Kama huelewi basi hembu angalia hapa chini uone ni kitu gani haswa ni kwa wanaume na baadhi kwa wakina mama.
  1. Ndevu.
  2. Mustach.
  3. Sharubu.
  4. Nyusi.
  5. Mav***zi.
  6. Love garden (Nywele za Kwenye kifua).
  7. Mzuzu.
  8. Nywele.
  9. Vinyweleo.
Kama una kuna majina mengine nimeyasahau basi waweza changia.
 
na najua mkonga wa taifa
na mkonge wa tembo
na kilimo cha mkonge
miguu ya watoto
pembe la faru
nyati aliyejeruhiwa
 
machimbo ya kutu.
volcano.
shimo la choo.
mnato.
jalala.
mlango wa dharura.
kunako mkwaju.
revarse.
sitaki nataka.
nakupa ww tu.

nimechoka ku andika.nitamalizia kesho.
 
machimbo ya kutu.
volcano.
shimo la choo.
mnato.
jalala.
mlango wa dharura.
kunako mkwaju.
revarse.
sitaki nataka.
nakupa ww tu.

nimechoka ku andika.nitamalizia kesho.

mmh..hapa cjapata kitu halisi kinachojadiliwa...
au ndio icho icho nnachowaza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom