Je wajua Siku EL alienda kwa Mwasapila alikuwa na Nelson Mandela??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kwa taarifa yako nikwamba siku EL ameenda na Nelson Mandela kwa Mwaisapila a.k.a.(Babu)Babu maarufu hadi south!
 
Kwa fikra za haraka haraka kwa hizi tetesi baada ya mzee wa kaya kupata kikombe ndipo akamdhibitishia mzee mandela
 
Kwa fikra za haraka haraka kwa hizi tetesi baada ya mzee wa kaya kupata kikombe ndipo akamdhibitishia mzee mandela
kunahaja ya kwenda kumfanyia maombi huyo Babuyeno, kwanza amekula madesa au amedesa kwa wamasai ambao wamekuwa wakiuza vikombe kwenye minada wamasai wamekuwa wakiuza kiloriti minadani na dawa zingine nae kaiga na kujichukulia umaarufu. sasa wengine wakidesa kwake shida au inamuuma. mwizi akiibiwa mtaa mzima watajuwa kuwa kaonewa!
 
Kwa fikra za haraka haraka kwa hizi tetesi baada ya mzee wa kaya kupata kikombe ndipo akamdhibitishia mzee mandela
mzee wakaya nae ni myu kama wengine, kwahiyo akienda kunashida gani?, au yeye ulitaka awe na mtengenezaji kikombe wakwake? tumuombee mzee wa kaya ili mungu amsaidie kama mungu mwenye mipaka anaesema atibu akiwa samunge tu ampe hekima na afungue mipaka ili wagonjwa menye kuelemewa zaidi awafuate kule waliko.
 
hapo penye nyekundu nilitaka kuandika mtu nikakosea kutokana na ukaribu wa t na y kwenye kibodi

Nawasifu usalama wa taifa! Wamefanikiwa kutuhamisha akili!

Usalama wa Taifa, they have done a very inteligent task, and they need kujipongeza kwa kazi waliofanya vizuri...
vichwa vyote vipo loliondo, shida zimesaulika
 
wenye nchi yao walishaachana na babu siku nyingi nao usalama wa taifa wajue kua tumewashtukia tunata move yetu ya dowans na katiba mpya
tusije kuambiwa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa DOWANS tumeshawalipa tulishindwa kesi MAHAKAMANI
 
kweli JF ni chombo huru cha habari.inafikia mtu kuandika lolote lile linalomjia kwenye akili yake
 
Back
Top Bottom