je wajua kama Osama yu hai!!!!

Akiwa hai inakusaidia nini wewe Mtanzania wa Tandale? Yaani wewe umejiunga humu JF leo hii na post ya kwanza tu unakimbilia kuweka ufu na uhai wa Osama, hata hujaonyeshwa choo cha humu JF kipo wapi! Bisha hodi kwanza, subiri ukaribishwe, tumia masaa kadhaa kulijua jukwaa na tools zake, tumia walau siku tatu kusoma watu uliojiunga nao wakoje kiuelewa. Sio unatoka kuazima gazeti la "risasi mchanganyiko", unaona habari na kukimbilia kujiunga JF. Jukwaa hili ni la wasomi, wapuuzi wachache hawawezi kukosekana, utawajua tu ukitulia. baada ya hapo ndipo ujue kama hili jukwaa ni la kiwango chako au maji marefu. Kama vipi nenda kaweke hizo news FB na GPL.

Dah,safi mkuu kwa kuweka hii kitu wazi...kuna watu wanaleta udaku wa ajabu na kuulazimisha kuwa habari ya uhakika!!
 
Mie sidhani kama kuna umuhimu wowote wa kujali kama Osama kafa au hajafa kwani waliokuwa wanamtafuta wameshasema wamempata na wamemuua, haito badirisha msimamo wao.
 
Al Qaeda has confirmed the death of Osama bin Laden and vowed to launch revenge attacks on the US and its allies.

A statement posted on jihadist websites warned that happiness over the terror chief's demise would soon be turned on its head.

The group described itself as a "curse" on America, promised bloodshed and also called on Pakistan to rise up in revolt.
 
Back
Top Bottom