maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,144 15,159 Feb 7, 2024 #1 Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
Depal JF-Expert Member Nov 26, 2018 47,503 190,117 Feb 7, 2024 #3 Nikionaga refa anakimbilia VAR uwa nacheka sana
Vishu Mtata JF-Expert Member Dec 15, 2019 11,035 22,838 Feb 7, 2024 #4 Iko poa, ukiritimba umepungua sana. Malalamishi ya kuonewa pia yamepungua sana.
spidernyoka JF-Expert Member Jan 2, 2020 6,125 15,856 Feb 7, 2024 #5 UEFA should come to learn on proper use of Video assistant referee Bravo Bravo
Chief Kumbyambya JF-Expert Member Jun 16, 2022 522 1,608 Feb 7, 2024 #6 Jibu rasmi hapo ni itakua au imeongeza ladha
Selikavu JF-Expert Member Jul 14, 2017 5,626 13,040 Feb 7, 2024 #7 VAR ipo vizuri bila hiyo leo Bafanabafana tungekufa mbili bila
Scars JF-Expert Member Apr 8, 2017 44,493 105,586 Feb 8, 2024 #8 Inategemeana na matokeo ya uamuzi yalivyo athiri timu yako. Kama VAR kwa upande wa timu yako iliamua kitendo ambacho kilienda kuinufaisha timu yako unauoishabikia basi hapo lazima uifurahie VAR Ila kama ndio timu yako imekuwa victim kila tukio linaloamuliwa na VAR imekuwa ikiadhibiwa basi lazima uichukie. Ila in general VAR imekuja kuleta radha kamili ya soka, mshindi apatikane kwa njia za halali. Japo zipo baadhi ya acts unaona haziamuliwi ipasavyo na hili sio tatizo la VAR ni yule refa anayetafsiri hilo tukio. Ndio maana watu wanafikiria uwezekano wa kuja na mfumo wa roboti lenye AI ambalo litakuwa programmed litaweza kuamua mechi bila kuwa na mihemko.
Inategemeana na matokeo ya uamuzi yalivyo athiri timu yako. Kama VAR kwa upande wa timu yako iliamua kitendo ambacho kilienda kuinufaisha timu yako unauoishabikia basi hapo lazima uifurahie VAR Ila kama ndio timu yako imekuwa victim kila tukio linaloamuliwa na VAR imekuwa ikiadhibiwa basi lazima uichukie. Ila in general VAR imekuja kuleta radha kamili ya soka, mshindi apatikane kwa njia za halali. Japo zipo baadhi ya acts unaona haziamuliwi ipasavyo na hili sio tatizo la VAR ni yule refa anayetafsiri hilo tukio. Ndio maana watu wanafikiria uwezekano wa kuja na mfumo wa roboti lenye AI ambalo litakuwa programmed litaweza kuamua mechi bila kuwa na mihemko.
MKATA KIU JF-Expert Member Nov 22, 2010 2,905 6,376 Feb 8, 2024 #9 Bila VAR leo south alikuwa anakufa nyingi Pongezi sana kwa VAR
M michael92 JF-Expert Member Feb 24, 2014 729 1,168 Feb 8, 2024 #10 AFrica ina marefa bora sana kuliko ulaya basi tu. Hii michuano ya Afcon imenionesha hilo jambo kuanzia maamuzi ya marefa uwanjani bila Var hadi maamuzi ya marefa kwa kusaidiwa na Var. Simaanishi hakuna mapungufu la hasha ila tupo vizuri sana tofauti na michuano mingi ya ulaya inavyochezeshwa. Mfano hakuna ligi ulaya inaendeshwa kihuni kama Epl na wakati kuna Var lakini wale marefa hawana tofauti na wa Nbc premier league.
AFrica ina marefa bora sana kuliko ulaya basi tu. Hii michuano ya Afcon imenionesha hilo jambo kuanzia maamuzi ya marefa uwanjani bila Var hadi maamuzi ya marefa kwa kusaidiwa na Var. Simaanishi hakuna mapungufu la hasha ila tupo vizuri sana tofauti na michuano mingi ya ulaya inavyochezeshwa. Mfano hakuna ligi ulaya inaendeshwa kihuni kama Epl na wakati kuna Var lakini wale marefa hawana tofauti na wa Nbc premier league.
mdukuzi JF-Expert Member Jan 4, 2014 16,305 36,833 Feb 8, 2024 #11 Marefa wanabet sana,tatizo liko hapo
B Benny Haraba JF-Expert Member Dec 7, 2012 8,600 6,562 Feb 8, 2024 #12 So special said: Ipo vizuri mpaka sasa Click to expand... Inaongeza furaha na kuipubguza
Mayu JF-Expert Member May 11, 2010 6,765 10,871 Feb 8, 2024 #13 Kiukweli VAR nimeanza kuielewa sasa Kwenye michuano hii imetumika vizuri sana kwa kufuta makosa mengi ambayo refarii na wasaidizi wake wasingeweza kuyaona bila VAR Mfano SA vs Nija bila VAR SA alikua anaumia bao nyingi lakini VAR ikamaliza utata Refarii pia wamekua wepesi kuomba VAR review pale wachezaji wanapo omba hivyo So far so good
Kiukweli VAR nimeanza kuielewa sasa Kwenye michuano hii imetumika vizuri sana kwa kufuta makosa mengi ambayo refarii na wasaidizi wake wasingeweza kuyaona bila VAR Mfano SA vs Nija bila VAR SA alikua anaumia bao nyingi lakini VAR ikamaliza utata Refarii pia wamekua wepesi kuomba VAR review pale wachezaji wanapo omba hivyo So far so good