Je, ungekuwa wewe ungefanayeje?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna mwanamke ambaye tayari nimeshamuwekea mahari lakini bado yupo kwao. Kulingana na mila za ukoo wao ukioa katika ukoo wao kabla ya wewe kumchukuwa mke wako lazima familia Yao wa kutane wacheze Ngoma zao za asili na kufanya baadhi ya mambo Yao mengine ya mila na desturi zao Baada ya hapo ndipo utakaporuhusiwa kuchukuwa mke wako na kuanza kuishi naye.

Yote hayo niliyakubali. Lakini cha ajabu na cha kuchukiza, jana mke wangu aliniita na kuniambia kuwa kulingana na mila zao anayegharamia sherehe hizo ni muoaji yaani mimi tena nitoe pesa za kugharamia sherehe zao hizo
kulipia baadhi ya ndugu zake nauli za kwenda na kurudi kugharamia chakula.

Mavazi na mambo mengine mengi pesa za sherehe ni nyingi kuliko hata mahari yenyewe.

Angekuwa wewe ungefanyaje kwenye situation kama hii.
 
Kuna mwanamke ambaye tayari nimeshamuwekea mahari lakini bado yupo kwao
Kulingana na mila za ukoo wao ukioa katika ukoo wao kabla ya wewe kumchukuwa mke wako lazima familia Yao wa kutane wacheze Ngoma zao za asili na kufanya baadhi ya mambo Yao mengine ya mila na desturi zao Baada ya hapo ndipo utakapo ruhusiwa kuchukuwa mke wako na kuanza kuishi naye
Yote hayo niliyakubali
Lakini cha ajabu na chakuchukiza Jana mke wangu aliniita na kuniambia kuwa kulingana na mila zao anaye Gharamia Sherehe hizo ni muoaji Yaani Mimi Tena nitoe pesa za kugharamia sherehe zao hizo
Kulipia baadhi ya ndugu zake nauli za kwenda na kurudi kugharamia chakula
Mavazi na mambo mengine mengi pesa za sherehe ni nyingi kuliko hata mahari yenyewe

Angekuwa wewe ungefanyaje kwenye situation Kama hii
SEPA....WANAWAKE WAKO WENGI.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Maji si ushayavulia unatoa macho nn sasa badala ya kuoga? Hamna muoaji bana apo mtu umempenda ata ukiambiwa sharti gani utafanya imrad haikuvui utu na imani yako.. unategemea kuanza maisha na mtu alafu huwez ku sacrifice? Nyie ndo mnaombwa hela ya saloon au matumizi unaona ni mzigo wakati ni wajibu wako! Kaongeze idadi ya kataa ndoa bana waoaji mnadengua kuliko waolewaji!

Watu wanaomba ushauri mambo ya kitoto sana cku hz GT wanataka ulete mambo complex tu aisee
 
Malaya utamjua tu,umeandika ujinga
 
Ni ushauri tu, kachukue mahari yako
20230411_234817.jpg
 
Kuna mwanamke ambaye tayari nimeshamuwekea mahari lakini bado yupo kwao. Kulingana na mila za ukoo wao ukioa katika ukoo wao kabla ya wewe kumchukuwa mke wako lazima familia Yao wa kutane wacheze Ngoma zao za asili na kufanya baadhi ya mambo Yao mengine ya mila na desturi zao Baada ya hapo ndipo utakaporuhusiwa kuchukuwa mke wako na kuanza kuishi naye.

Yote hayo niliyakubali. Lakini cha ajabu na cha kuchukiza, jana mke wangu aliniita na kuniambia kuwa kulingana na mila zao anayegharamia sherehe hizo ni muoaji yaani mimi tena nitoe pesa za kugharamia sherehe zao hizo
kulipia baadhi ya ndugu zake nauli za kwenda na kurudi kugharamia chakula.

Mavazi na mambo mengine mengi pesa za sherehe ni nyingi kuliko hata mahari yenyewe.

Angekuwa wewe ungefanyaje kwenye situation kama hii.
Yani mtu anaenda kuanzisha familia na binti yako lakini unamfanyia mambo kama vile unamkomoa. Waambie wazi huna pesa ya kugharamia hiyo sherehe kama bila hiyo sherehe hamuwezi kuoana wakurudishie mahari yako.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Maji si ushayavulia unatoa macho nn sasa badala ya kuoga? Hamna muoaji bana apo mtu umempenda ata ukiambiwa sharti gani utafanya imrad haikuvui utu na imani yako.. unategemea kuanza maisha na mtu alafu huwez ku sacrifice? Nyie ndo mnaombwa hela ya saloon au matumizi unaona ni mzigo wakati ni wajibu wako! Kaongeze idadi ya kataa ndoa bana waoaji mnadengua kuliko waolewaji!

Watu wanaomba ushauri mambo ya kitoto sana cku hz GT wanataka ulete mambo complex tu aisee
Kama hiyo pesa Hana? Unataka sherehe zisizo na ulazima zimuingize mtu kwenye madeni?. Hata kama pesa akiwa nayo sherehe za kikwao yeye zinamuhusu nini hilo ni swala la binti na ukoo wa huko wakimaliza wampe jamaa jiko.

Kwaio ukipenda ndo ufanye kila kitu unachoambiwa bila kushirikisha Akili yako....wewe bwege nazi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kama hiyo pesa Hana? Unataka sherehe zisizo na ulazima zimuingize mtu kwenye madeni?. Hata kama pesa akiwa nayo sherehe za kikwao yeye zinamuhusu nini hilo ni swala la binti na ukoo wa huko wakimaliza wampe jamaa jiko.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hujakutana na wife material labda, kwanza moja ya sifa ya mahusiano ya kudumu hua na mikiki sana mpaka muoane utajaribiwa sana mana ata shetani hataki watu mnaopendana kwa dhati muungane! Narudia tena kama umependa kweli utafanya juu chini utazunguka dunia yote umpate huyo mkeo. Yalinikuta haya pia, niliongezewa gharama zisizoeleweka tofauti na mahari ila kwakua mwenzangu ana thamani zaid ya hiyo nilipambana kiume bila msaada wa ndg wala rafiki. Mfano tuseme inatakiwa aongeze milioni 3, thamani ya mama watoto ni ndogo kuliko hyo M3? Kama hana hela si anamshirikisha mwezie wayajenge ata kuchangisha ndugu au kukopa imradi jambo lifanikiwe? Hapa point ni utajitoa kias gan imradi upate mwenza sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom