Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

Wito kwa wana JF tuliojiandikisha, Tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi tukapige kura kwa ama kutoa shukrani zetu kwa mazuri tunayo tendewa na serikali ya awamu ya tano ama.
Paskali
Na kwa waliotendewa mabaya unawapa wito gani?
 
Mimi nasema asante kwa walipa kodi wa Lindi ambao Rais m'baguzi amewaambia hatopeleka maendeleo kwenye jimbo lao kwasababu tu mbunge wao ni mpinzani lakini kodi zao zimehusika kwenye huo ujenzi.

Pascal siku ukiotea tenda ya ile ofisi yako ya media na ukawekewa pesa kwenye bank account, ukienda kutoa pesa kwenye ATM usisahu kusema "Asante ATM kwa kunipa pesa"
 
Kwanza wewe unataka kumchonganisha Rais na wapiga kura, yeye na tushukuru tulimpa kibarua na anatupigia magoti hadharani labda tumfikirie tena sasa unasema tumshukuru tena?? Ndiyo maana ulipigwa chini kwenye kura za maoni, upo double standard and hypocrite sana wewe baba
 

Attachments

  • Basii.jpg
    Basii.jpg
    8.9 KB · Views: 1
Tundu Lissu aliwahi kusema kuwa "Tunamshukuru Rais Magufuli kwani kwa namna moja ametusaidia kufagia takataka ndani ya chama chetu"

Na mimi namshukuru kwani amenisaidia kujua kuwa baadhi ya watanzania kuuza utu wao au kujidharaulisha kutokana na njaa ili apate chochote kitu ni swala la muda mfupi sana.

Unajua Tanzania ipo nyuma sana kidemokrasia na kuwa na watu wenye akili kwakuwa tumetengwa eneo moja na tukajikuta tumekaa na mazuzu wengi.

Pascal Mayalla anajua kuwa kwa vyovyote vile kama kiongozi huwezi kufanya jambo la maendeleo ya miundo mbinu kuwa hisani ya kutesa, kuua, kunyima wengine haki na kuzuia watu wasikukosoe. Ila kwa kuwa ni moja ya watanzania aliowasema Tundu Lissu ndiyo maana unamuona anachotuletea humu.

Hivi kweli ukiwa mtanzania mwenye akili timamu unaanzaje kumshabikia Magufuli? Narudia tena, unaanzaje? Emb tuweni na aibu jamani! Tunachekwa na dunia.

Ila ndiyo watanzania wenzetu, tunaishi nayo humu humu Tanzania.

Hili linchi nadhani limekuwa likubwa halafu hata faida ya kuwa linchi likubwa haionekani. Uwe na linchi likubwa basi walau ionekane faida yake. Halafu nawaza sana inakuwaje mfano mtu kama huyu mleta mada unaweza kukuta kasoma hadi chuo kikuu tena kwa kufaulu lakini ona alivyo na uwezo mdogo wa kufikiri mambo kwa undani.

Unajua zuzu likiona kitu kidogo tu linalipuka kwa shangwe maana huwa halina uwezo wa kujiuliza. Huyu mleta mada kapita tu kwenye barabara ya juu ghafla kaona ewaaa matatizo yote yameisha Tanzania. Anaenda kulala ana amani kabisa kabisa. Nataka uone ni jinsi gani tulivyo na watanzania mazuzu.

Walikuwepo kina Bashiru, Polepole kina Ryoba kina Kabudi. Hawa tulikuwa tukiwaona wakiwa mstari wa mbele kuhubiri haki. Lakini kumbe wooote ni mazuzu. Walikuwa wanaongozwa na shida binafsi. Sasa wamepata kidogo na kwakuwa hawana uwezo wa kufikiri tena baada ya kupata imekuwa basi. Hawa ni watanzania walioenda shule lakini ona vichwani mwao kwa sasa.

"Stupid generarion"
Jamaa ningekuwa karibu yako haki ningekulipia dinner ya leo, umejua kuusema ukweli hadi ukweli wenyewe unashangaa!
 
Hivi wakati anaweka jiwe la msingi si alisema shukrani na pongezi ziende kwa JK? Kwa kuwa chini ya utawala wake alikuwa keshafanya feasibility study, mchoro ambao baadaye ulichakachuliwa, mkopo ulishapatikana kutoka WB na mkandarasi alikuwa kashapewa kazi, sasa kwanini sifa apewe mtu mwingine?
 
Ni kwel ila zile kodi zetu za Chato sijui nazo tashukuru au tuachane nazo kwa kuwa haizikuwepo kwenye ilani
 
Mkuu,

Bado unaamini kwamba huu utawala utarudi madarakani? Nahisi kama mwaka huu unacheza pata potea na kwa kiasi fulani umecherewa kuwaonyesha msimamo wako. Kwa maoni yangu, hata kama ukirudi madarakani utawala huu naamini hautakuwa tena ule wa honga honga. Kwa nini nasema hivi? Kwa sababu hawatahitaji tena watu kama nyie kwa vile malengo yao yatakuwa yameshatimia. Na kwa hio watu aina yenu watakuwa na status kama ya Lipumba tu!
 
Shukurani ziende kwa watanzania wanaolipa kodi. Praise & Worship tusisahau hizi ni fedha za umma!

Siwezi kuishukuru serikali kutimiza wajibu wake.

Kesho P utakuja na mada tushukuru Gwajiboy kaanza kujenga kanisa lake, lisionekana kama banda la kufugia misukule.

Everyday is Saturday.............................. :cool:
 
Ukijsikia kujibu hili swali, naomba ufanye hvo.

Hv flyover iliyopo Dar inamnufaishaje mtu anayeishi Kigoma penye tatizo la barabara, je majimbo yenye shida ya maji yanafaidika nini na flyover?

Binafsi sikatai kumsifia Magufuli, ila mnaosifia mnavuka mipaka kiasi cha kumfanya kama mungu kwamba bila yeye hakuna Tanzania.

Kingine, mzee unazeeka vibaya sana.
 
Kule mahoteli tunatoa sana tip za ahsante kuhudumiwa vyema japo tumelipia ni vyema kushukuru awamu ya 5
 
Wasukuma ushamba hauwatokagi hata mkiwa na elimu. Yani mtu mwenye akili timamu katika nchi yenye watu milioni 60 maskini inashangilia daraja? Unasahau watu waliopptezwa, waliouawa, walootekwa, wsliofilisiwa, waliobambikiwa kesi, ufisadi wa mabilioni nk? Njaa na ukabila ni ugonjwa hatari sana.
 
Back
Top Bottom