Okota mawe jitetee mwanaume unapigwa kibwegeKama ni mnyonge unapigwa tu haijalishi huko na mpenzi au Ukiwa peke yako.
Unaweza pigwa na hayo mawe yako, SEMA Mimi kupigana naona kama tunacheleweshana panga mkononi tumalizane mapema tu.Okota mawe jitetee mwanaume unapigwa kibwege
✍️
Ndio maana nimekwambia mwanaume jitetee acha kua bwegeSEMA Mimi kupigana naona kama tunacheleweshana panga mkononi tumalizane mapema tu.
Hahaaaa huo ndio ukweli tena ukapigika hatari na usifanye lolote.Kupigwa sio hiyari yako mkuu unaweza ukakataa na ukapigwa vyema tu...
Hahaaaaa, unaweza kuwa na panga mkononi pia ukapigwa pamoja na Panga lako. Haya mambo yanahitaji hekima.Unaweza pigwa na hayo mawe yako, SEMA Mimi kupigana naona kama tunacheleweshana panga mkononi tumalizane mapema tu.
Labda km hujui kulitumia Panga vizuri Ila km unajua kulitumia njoo na judo zako km sijakufyeka mikonoHahaaaaa, unaweza kuwa na panga mkononi pia ukapigwa pamoja na Panga lako. Haya mambo yanahitaji hekima.
Nadhani Mimi Niko tofauti kaka, nikichafukwa hata mpiga karate lazima atoke nduki...Kuna kipindi police walinizingua wakadhani Mimi ni kichaaHahaaaaa, unaweza kuwa na panga mkononi pia ukapigwa pamoja na Panga lako. Haya mambo yanahitaji hekima.
Sema na andika sana ila omba yasikukute. Nakuambia, hutafanya lolote na panga lako mkuu.Labda km hujui kulitumia Panga vizuri Ila km unajua kulitumia njoo na judo zako km sijakufyeka mikono
✍️
Kwa ID yako, huwezi fanya hivyo usemao. Wewe ni mrembo tu na ni mtoto wa mama na wa kawaida sana. ID hii sio ya watu wa namna hiyo usemavyo. ID hii ni nyoro nyoro tu.Nadhani Mimi Niko tofauti kaka, nikichafukwa hata mpiga karate lazima atoke nduki...Kuna kipindi police walinizingua wakadhani Mimi ni kichaa
Nilishawahi kumtililisha na Panga mcheza kick box mmoja akatoka nduki anakimbia upanga kwa hio nakwambia Panga kitu kingine usilete masihala yale maigizo ya wacheza karate yasikupumbazeSema na andika sana ila omba yasikukute. Nakuambia, hutafanya lolote na panga lako mkuu.
Hahaha, SI kweli wanaonizunguka wananijua mzee, nimeshachora mstari kwenye maisha yangu ukivuka mstari lazima ukutane nacho. Nenda Mwanza Hapo mabatini jina langu linaimbwa Kila Kona ya mtaa, kama Bado hujanifahamu Mimi ndio kiongozi wa kundii la Mapimpiri miaka hiyo, kimbiza sana masharobaro.Kwa ID yako, huwezi fanya hivyo usemao. Wewe ni mrembo tu na ni mtoto wa mama na wa kawaida sana. ID hii sio ya watu wa namna hiyo usemavyo. ID hii ni nyoro nyoro tu.
Hahaaaaa, haya mkuu hongera kwa hilo.Hahaha, SI kweli wanaonizunguka wananijua mzee, nimeshachora mstari kwenye maisha yangu ukivuka mstari lazima ukutane nacho. Nenda Mwanza Hapo mabatini jina langu linaimbwa Kila Kona ya mtaa, kama Bado hujanifahamu Mimi ndio kiongozi wa kundii la Mapimpiri miaka hiyo, kimbiza sana masharobaro.