Je, unataka kufuga mifugo kama kuku, bata, mbuzi, ng'ombe n.k lakini unajiuliza namna ya kutengeneza banda zuri LA mifugo?

Mr Spider

JF-Expert Member
Feb 28, 2020
1,416
2,543
Kama umekuwa na shauku ya kufuga lakini unakwama katika utengenezaji wa banda zuri na LA kisasa kwa ajili ya mifugo yako.

Basi usiwaze sana katika hilo unaweza nitafuta nikakusaidia, kukusanifia banda utakalo lipenda kulingana na idadi ya mifugo utakayopenda kuifuga pamoja na kukujengea pia kwa bei nzuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom