Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

binafsi nakumbuka sana nkiwa 834kj makutupora jkt operesheni kikwete awamu ya tatu mwaka 2015 tulikamatwa usiku tukiwa tumelala hangani wenzetu wakiwa mkesha kiukweli doso tulilopewa na ma MP kila nkikumbuka huwa naumia roho kuna wenzetu baadhi walilazwa

Ukijongo andaa nguvu sasa nyie nguvu hamna halafu mnadoji

Lazima mnuke mavi tu
 
Sitasahau siku moja kwenye disco jamaa mmoja na kichaa chake akaimbisha wimbo wake mpya ulikuwa unasomeka hivi;
askari mambo yao vitendo vyao ..sawa sawa
vaa yao ......sawa sawa
Kula yao.... ...sawa sawa
Jamba yao ......sawa sawa.
Hapo ndiyo hali ya hewa ilibadilika badala ya disco ikawa kichura na push up hadi ule wali ukaisha tumboni. Mchakamchaka ilikuwa shida asubuhi kukimbia. Mimi nilijongo kwenda chooni serengeti (choo wa wanawake) bahati mbaya afande mwanamke (Nyoni)akaja kujisaidia haja kubwa. Kulikuwa na kagiza kidogo, kaanza kushusha mabomu, kwa bahati mbaya nikacheka pale nilikuwa nimejibanza. Mungu niliangukiwa wala hakukumbuka kupandisha nguo ya ndani kazi ilikuwa moja kunishughulikia. Push up pua kwenye shimo la choo akisema..... 'nusu hayo mavi kumamayo'
Nilijilaumu sana kwanini sikumuomba na mimi nilikuwa na uhanga kishenzi
Sintasahau usiku wa disco Ruvu JKT, mkuu wa kikosi alikuwa lt connel Makame na akina cpt mlay mkuu wa mafunzo
 
Wazalendo;

Moja ya shemu ya maisha yangu ambayo kamwe sitasahu ni kupitia JKT.

Nilijiunga na JKT Ruvu na baadaye nikaenda Service Buhemba Lwamkoma.

Sitosahau kamwe mafunzo ya ukakamavu, kwata, mchaka mchaka, disko na vitimbi mbalimbali kati ya Makuruta na Maafande. Nilikuwa Combania E.

Moja ya vituko vya kukumbuka ni simulizi kutoka- Operation OKOA, kulikuwa na huyu jamaa alikuwa ni mweusi sana anaitwa afande Lucas, badala ya kuwaaamsha kuruta kwa filimbi, alikuwa anaingia na kuvuta Sigara. Kuruta inatakiwa ukisikia harufu ya Sigara uamke na kufoleni nje. Usipotoka in time unakula mijeledi.

Basi siku moja Kuruta wakapanga wamfanyizie na wakatoka mapema nje na kujificha huku ndani kwenye Bweni wakiyaviringisha mablanketi mithili ya mtu amelala. Afande alipomaliza sigara hakuna aliyetoka akajua siku hiyo kuruta wamegoma kuamka na kuanza kuchapa viboko yale mablanketi yaliyovingirishwa. Alishtukia kaanza kushambuliwa yeye na kuruta toka nje ambao walikuwa na fimbo kibao mpaka akakoma. Kisha kuruta wakafoleni nje. Nakumbuka Mkuu wa Kombania alipata habari na kulikuwa na drill si kawaida na mpaka push ups za kunusa mkojo katika nyasi walizokuwa wanakojoa kuruta usiku. Hata hivyo yule afande naye alikoma kwani hakurudia mchezo wa kuwaamsha watu kwa sigara.

Kwa waliokuwa Ruvu Operation Okoa:

Na miss - Ugali na korosho mnapojongo kambini
Namiss Mihogo ya Vibwende kwa Babu
Wali na Maembe
Uji wa Mestin ya Jeshi
Bukta na Green Vest
Kuokota kuni
Bustani
Michezo
Disco . . . Ama Johnnnnn ambaaaa ambaaa John, amba Johnnn wa Tanzania . .

. . . . Arusha Mbali, Arusha Mbali, tukumbukane kwa Barua nk.

Nakumbuka pia siku moja sikuimbisha disco vizuri na kipindi kile 1985 bado kulikuwa kuna ubaguzi wa rangi Africa Kusini, basi afande akanipiga mkwala na kuniambia . . . .

"Kuruta nitakutemea mate yenye sumu usoni upofuke macho, na sijui utatibiwa wapi kwani mipaka yote Afrika Kusini imefungwa . . . (Kana kwamba hakukuwa na hospitali ya kutibu mate ya sumu hapa bongo"

Jamani mliokosa JKT, mlikosa mengi, japo tulipata tabu lakini tulijifunza mengi katika maisha.

Je, wewe unakumbuka nini?
Mimi nakumbuka nilichelewa kuriport kambini Makutupora,nilipofika nikaambiwa ahaa umechelewa eennh,ok anza kupiga pasi,nikashangaa,ndio mmoja wa kuruta akaniambia bro vua nguo zako uanze kuzikanyaga kanyaga mpaka ziwe flat,daah nilibaki na chupi ya V.I.P huku nikipiga mark time hadi nguo nilizovua zikawa flat,hapo nikaruhusiwa kuingia kambini,anyway sikupata tabu kabisa,maana kuna afisa wa kike alinizimikia aliponiona,so nikawa natoroka camp naenda kumpa ile kitu taaamu ya asali,basi nikawa kama boss,nilipewa kila aina ya chakula na pombe ili niweze kufanya shughuli nzito usiku ikiwemo tigo kwa kwenda mbele,VIVAAAAAA JKT MAKUTUPORA,mpaka leo naikumbuka na nillibatiza jina taamu,JKT MATOMBO NA SIO MAKUTUPORAAAAAAA HAHAAAAAA JKT MATOMBOOOOOO HOYEEEEEEEE.
 
mi sijui lolote kuhusu JKT..
ngoja nisome huko huwa mnalima nini na nini
Mkuu usijali,huko kambini mademu woote waliokuja humbwato na maboss,na pia sisi makuruta huwa tunawala kichizi,unajua kwata inaleta nyege sana au vipi? hasa mademu,yaani ile mipaja na mikia kutikisika na kusuguana,daah hapo sasa pata picha ya clit ina hali gani kwenye hiyo misuguani,basi tukisha kunywa uji na giza likaingia,basi hapo ni mbade mbade kwa kwenda mbele mpaka kieleweke.
 
mmmh simpeleki mwanangu hata waseme hii ni ya kwa mujibu au kwa sheria...kama huko mbeleni kuajiriwa sifa kua na iko cheti chao, ajira ziko nyingi hata..makampuni na yeye atajiajir tu ila si kwa upuuzi huu!!
asante kwa kunifumbua
 
Jamaa mmoja alikuwa mwoga sana, anaogopa sana adhabu. Kama kawaida ya jeshi. ilikuwa ni lazima utandike kitanda vizuri kwa style ya jeshi, kila kitu, shuka, blanketi, kitanda mess tin, kwa dressing. Haya yote unatakiwa ufanye kabla hujapurukushwa kwa wito wa 'FOLEN'! Basi huyu jamaa alikuwa anatandika kitanda chake vizuri usiku tukitoka disco, halafu alikuwa analala chini! Tulikuwa tunamcheka sana, lakini baadae tukawa tunamuonea huruma.

Njemba moja alikuwa akizurura kutwa na sururu. Akiulizwa, askari unakwenda wapi, anasema ametumwa kazi na afande fulani. Tulikuwa tunamuonea huruma maana alikuwa anazurura kutwa na sururu baada ya kulala porini kama sie wengine wajongomeaji.

Tulijifunza kutomaliza kazi mapema, maana ukiripoti umemaliza kazi uliyopewa, unabambikiziwa nyingine. Tulikuwa na midomo yenye fridge, maana kama jamaa yako alikuwa zamu jikoni, akikuchotea nyama au wali kwenye mess tin, unatakiwa umeze haraka, hata kama ni vya moto kiasi gani. Ulitakiwa uwe mwizi sana, hasa wa kofia, maana kama umeibiwa kofia na hukuvaa, unapewa adhabu. Mimi nilizoea kuwaibia maafande kofia zao, maana ilikuwa ni rahisi kwao kupata nyingine.

Katika kombania yetu tulikuwa na wahindi wawili. Siku moja kwenye disco, baada ya wiki kadhaa za kukaa jeshini, mhindi mmoja akawa anatufundisha wimbo wa kihindi. Tulijifunza, lakini yule mwingine akawa anacheka sana,. Sisi tukadhani kuwa maneno ya wimbo ule yanachekesha. Kesho yake ilibainika kuwa yule Mhindi aliyetufundisha ule wimbo ametoroka. Yule mhindi aliyebaki akatuambia alikuwa anacheka sana maana maneno ya wimbo ni: Kwaherini, mimi kesho natoroka!

Siku moja kombania yetu ilikuwa zamu. Platoon yetu ikapelekwa kwa kuku. Kama kawaida, ukishafika huko unakazana kubugia kwa wingi mayai mabichi kiasi utakachoweza. Baada ya kumaliza kazi, tukachukua mengine, tukajaza kwenye mifuko ya combat. Rafiki yetu mmoja akachukua mengine akayaweka kwenye jungle hat yake, halafu akaivaa. Tukawa tunaondoka kutoka kwa kuku, tukiwa na dhamira ya kwenda kwenye jongomeo letu msituni. Mara tukakutana na ma MP. Kitu kilichotuponza siku hiyo ni kutokuvaa vizuri. Hatukufunga kamba boot, mashati hayakufungwa vifungo nk. MP mmoja akasema, 'Askari, simama. Mbona mmevaa kama askari wa kukodiwa?' Akamuita yule jamaa aliyevaa jungle hat yenye mayai. 'We, kuja hapa, mbona umening'iniza kofia? Njoo hapa nikuonyeshe namna ya kuvaa'!! Akashika kofia, akaishusha kwa nguvu ili aizingushe zungushe kwa nguvu kichwani. Lo, si mayai yakavunjika! Yakaanza kumwagika usoni mwa jamaa. Basi tukazingirwa tusikimbie. Tukasachiwa likapatikana karai zima la mayai. Tukapigishwa fang fang usawa wa Quarter Guard, tayari kwa kufungwa na kuwa court marshalled.

Muda huo ulikuwa mchana na chakula cha ma MP kilikuwa kimeletwa. Basi ma MPwote, isipokuwa mmoja, wakaenda kula. Ikatokea kuwa kitabu cha kuandikisha mahabusu kimejaa, MP akaenda kuchukua kingine. Wakati huo tupo kwenye baraza la Quarter Guard, bado hatujawekwa ndani. Kuona upenyo huo, tukaamua tutoroke. Mmoja wetu akakumbuka kuwa tumesahau karai letu la mayai, akalirudia, tukatokomea nalo msituni. Mchana ule tulikula vizuri sana mayai ya kuchemsha .

Wakati wa usiku kwenye disco, tukaona kundi la ma Mp linakuja usawa wa kombania. Tukajua, leeo tumepatikana. Wakaongea na kamanda wa kombania, halafu muda si mfupi wakaondoka. Baada ya wao kuondoka,kamanda akasoma majina yetu na kutuita tutoke mbele. Akautuuliza, nyie mlikuwa kwa kuku leo? Tukamuambia ndio. Akasema safi sana, nyie askari wazuri sana, mmekamatwa, lakini mkaweza kutoroka, pamoja na mayai yenu. Huo ndio uaskari. Hatukupewa adhabu, disco likaendelea!
Nimecheka hadi nimelia machozi
 
mmmh simpeleki mwanangu hata waseme hii ni ya kwa mujibu au kwa sheria...kama huko mbeleni kuajiriwa sifa kua na iko cheti chao, ajira ziko nyingi hata..makampuni na yeye atajiajir tu ila si kwa upuuzi huu!!
asante kwa kunifumbua

Usiogope bana. Kule wale wanaojifanya "Maselule"/ wanaopenda mtelemko mambo yao ndio huwa yanakuwa mabaya! Amini nakwambia, kuna watoto nilikuwa nao kule hao maafande hawakuona ndani! Ila sio siri, wale wanaojilegeza maafande walikuwa wanapokezana kama mpira wa kona!
 
Wazalendo;

Moja ya shemu ya maisha yangu ambayo kamwe sitasahu ni kupitia JKT.

Nilijiunga na JKT Ruvu na baadaye nikaenda Service Buhemba Lwamkoma.

Sitosahau kamwe mafunzo ya ukakamavu, kwata, mchaka mchaka, disko na vitimbi mbalimbali kati ya Makuruta na Maafande. Nilikuwa Combania E.

Moja ya vituko vya kukumbuka ni simulizi kutoka- Operation OKOA, kulikuwa na huyu jamaa alikuwa ni mweusi sana anaitwa afande Lucas, badala ya kuwaaamsha kuruta kwa filimbi, alikuwa anaingia na kuvuta Sigara. Kuruta inatakiwa ukisikia harufu ya Sigara uamke na kufoleni nje. Usipotoka in time unakula mijeledi.

Basi siku moja Kuruta wakapanga wamfanyizie na wakatoka mapema nje na kujificha huku ndani kwenye Bweni wakiyaviringisha mablanketi mithili ya mtu amelala. Afande alipomaliza sigara hakuna aliyetoka akajua siku hiyo kuruta wamegoma kuamka na kuanza kuchapa viboko yale mablanketi yaliyovingirishwa. Alishtukia kaanza kushambuliwa yeye na kuruta toka nje ambao walikuwa na fimbo kibao mpaka akakoma. Kisha kuruta wakafoleni nje. Nakumbuka Mkuu wa Kombania alipata habari na kulikuwa na drill si kawaida na mpaka push ups za kunusa mkojo katika nyasi walizokuwa wanakojoa kuruta usiku. Hata hivyo yule afande naye alikoma kwani hakurudia mchezo wa kuwaamsha watu kwa sigara.

Kwa waliokuwa Ruvu Operation Okoa:

Na miss - Ugali na korosho mnapojongo kambini
Namiss Mihogo ya Vibwende kwa Babu
Wali na Maembe
Uji wa Mestin ya Jeshi
Bukta na Green Vest
Kuokota kuni
Bustani
Michezo
Disco . . . Ama Johnnnnn ambaaaa ambaaa John, amba Johnnn wa Tanzania . .

. . . . Arusha Mbali, Arusha Mbali, tukumbukane kwa Barua nk.

Nakumbuka pia siku moja sikuimbisha disco vizuri na kipindi kile 1985 bado kulikuwa kuna ubaguzi wa rangi Africa Kusini, basi afande akanipiga mkwala na kuniambia . . . .

"Kuruta nitakutemea mate yenye sumu usoni upofuke macho, na sijui utatibiwa wapi kwani mipaka yote Afrika Kusini imefungwa . . . (Kana kwamba hakukuwa na hospitali ya kutibu mate ya sumu hapa bongo"

Jamani mliokosa JKT, mlikosa mengi, japo tulipata tabu lakini tulijifunza mengi katika maisha.

Je, wewe unakumbuka nini?

Nakumbuka upigaji nyeto wa makundi wakati tukienda kuoga mtoni, yaani tulikuwa tunashindana nani anapiga nyeto Zaidi.
 
Msange JKT. Afande materu mchina. Sajini wela. Coplo Mandevu. Vcpl masanja sasa hivi masanja ni SSgt was jeshi LA maji kivukoni. Co sanga 2ic mpemba Fulani ameekwenda hewani. Those were the days vlcpl frida
Mimi sasa ni mbunge ila nilitumia choose kimoja na watu kumi hakuna ukuta wala nini kila mmoja anasoma karatasi lake atalochambia. Ukitoka chooni hakuna kunawa wala nini unakamata kitu unaweka mdomoni
 
Nakumbuka MGAMBO JKT 835 tanga kina afande wame afande nurdini afande kabeya jamaa yee hatari ujinga
Umenikumbusha B-Coy Mgambo JKT OP Kikwete 2015 mkuu.Kabeya alikuwa tall fulani hivi na English yake ya this time tomorrow.Wame nilikuwa simpendi kinouma maana jamaa alikuwa hatari sana kwa madoso na route za shamba.Matroni Beatrice alikuwa mrembo kinouma ila roho mbaya mamaeeeee.Kama kweli wewe ndio yule Amos basi nishakusoma mkuu.

Wapi GendaGEenda na Komsanga.
 
Back
Top Bottom