tracy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 785
- 267
ooh Paalizz!its not always that you choose what you desire sawa?una uhakika sijapata hiyo bahati au just saying jamani?i said nawafagilia,kwani wewe vingapi unafagilia but you have chosen in your heart usivichoose?au do you go 4 everything you desire my dear?Call them names. Hata hii post yako inaonyesha uko tayari kumkubali mwanaume yeyote mweupe akikutokea, sema tu hujapata bahati hiyo. Halafu hapa kwetu wako wachache, ili hali mabinti ndio wanawapenda hao....Ndio maana wanaishia kuwa heartbreakers kwa kuwa wanaelemewa na mzigo wa majaribu toka kwa mabinti...............!!!
SULUHISHO + USHAURI WA BURE: Mabinti kubalini kwamba wanaume weupe wako wachache, na ukikubali kumvulia chupi, umvulie tu kwa raha zako bila kutarajia kwamba atakuwa wako peke yako. DO IT JUST FOR FUN!!