Je, Umewahi kudanganywa na mpenzi wako kama alivyonidanganya hapa?

Leo ndo nimethibitisha zaidi uongo wake. Nilikua na bf nampenda sana. Tulidate kama miezi sita ila akabadilika ghafla, akapotea kama miezi sita hatuongei hata nimtafute hajibu msg simu hapokei. Mapenzi yanavyotia upofu akarudi akanipa story nikamsamehe tukaendelea.
Tukawa wote from June mpaka December ila nikawa naona kama sio yeye niliemzoea in short alichange na mimi nikawa namdate huku nina hofu ataondoka tena. Ilivyofika December akaniambia tena hatuwezi kuendelea sababu ya mama ake. I don't know alihusikaje ila he said something like he can't date me na at the same time awe cloz na mama ake sababu tulikua tunaishi mikoa miwili tofauti. Basi tukaachana japo nliumia sababu nlikua nampenda sana bado. January mwishoni kuna kaka alikuaga ananipenda nikaona let me try labda naweza fall kwa huyu nikamsahau ex bf. Hapo huyo kaka alikuwepo siku nyingi sema sikua serious nae niliona siwezi mcheat bf wangu. So January I slept with him ila baadae nikaja kugundua nina ujauzito wake na sikutaka kuutoa hata baada ya kujua alinidanganya vingi like kuachana na mke wake. Nikamwambia nina ujauzito wake akasema nitoe Nikamwambia siwezi kutoa kama hataki kuhusika Basi. Nikaanza safari ya kulea mimba peke angu katika mazingira magumu sana. Nilikua nalia like everyday yaani kuliko kutoa mimba bora nijiue tupotee mimi na huyu kiumbe. Miezi mitatu ikapita nikakubali ukweli nikamove on. Lakini bado moyoni nilikua nafeel guilty kubeba mimba ya mtu mwingine wakati yupo mtu nlieamini tunapendana. Tukaanza kuchat tena na bf ninaempenda. Akaja nilipo akanichek Nikamwambia ukweli wote kuhusu mimba. Akasikitika sana kwanini sikuzaa nae blah blah. Na hiyo siku nikalala nae. I was doing it for love nikajua labda tunaweza rudiana sababu alikua na mtoto tayari.
 
Bwana yesu asifiwe,

Nanguliza shukrani kwaiko wewe ambaye umesoma hapa,
Nina orodha ya udanganyifu niliowahi kufanyiwa na wenzangu ( wapenzi mbali mbali) ila niligundua.

1. Mmoja mwanafunzi wa chuo flan pale karibu na mkulu aliniambia nimpe hela akatoe mimba yangu maana ana mimba ya miezi miwili, nikampa laki na nusu kumbe anamtumia men wake kakwama Morogoro, dah nikagundua nikauchuna,

2. Mwingine aliwahi kunambia nisiende alipopanga maana kuna mtoto wa mamamdogo wake kutoka arusha , nikasema sawa lakin nikanyata taratibu nkachungulia nkakuta njemba imemuweka kifuani dar nikashuhudia live yan, nikagonga hodi akasema sikujui,

3. Mwingine akanambia kuwa ana maombi kanisani usiku kumbe ana mimba ya mshikaji mwingine anaenda kutoa , nikagundua,

4. Mwingine akawa anatembea na mshikaji mtaani eti ni mtoto wa shangazi, yaan mpaka sasa sina hamu

Je wewe uliwahi kudanganywa kipi na ukagundua?
Twambie tupate funzo
.....Women Lie Men Lie, Hamna Generation Yenye Wakati Mgumuuuuuu Kam Hii Ya Sasa, Ni Generation Yenye Changamoto Nyingi Sana Kwenye Mahusiano Hadi Kufikia Kufunga Pingu za Maisha, You Can Try To Date Randomly, Usiwe Na Moja jaribu kuwa Mjanja Mjanja Unakuwa na Demu Ila Usipende Sana Kuweka Pesa Mbele, Mwonyeshe Mapenzi ya Kweli na Jaribu Kumfanyia Brain Wash Kwenye Suala la Wanaume wanaotumia Pesa Sana na Athari Zao
 
.....Women Lie Men Lie, Hamna Generation Yenye Wakati Mgumuuuuuu Kam Hii Ya Sasa, Ni Generation Yenye Changamoto Nyingi Sana Kwenye Mahusiano Hadi Kufikia Kufunga Pingu za Maisha, You Can Try To Date Randomly, Usiwe Na Moja jaribu kuwa Mjanja Mjanja Unakuwa na Demu Ila Usipende Sana Kuweka Pesa Mbele, Mwonyeshe Mapenzi ya Kweli na Jaribu Kumfanyia Brain Wash Kwenye Suala la Wanaume wanaotumia Pesa Sana na Athari Zao
Babu unatakiwa uanzishe Uzi wa kuzungumzia mahusiano ya kuhusisha mapenzi na yasiyojikita katika mapenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom