Je Umewahi kudaiwa?

da! Mlijuaje? Mwanangu hy ckia tu kwa mwingie. Mi jamaa mke wake alikuwa anamharass afu anakuja na yaleyale maneno kunitapikia ila all in all deni smtmz ni bunduki usizoee.
 
Yaani me kuna mtu nilikuwa namdai lakini alikuwa akinijibu ujeuri mpaka nakosa amani kwa hela yangu mwenyewe!

Ukimuulizia vp hela yangu ananijibu nna 80,000 tu nikikulipa wewe 50,000 yako mm ntakula nini! Basi naondoka mnyonge mpaka leo na nishasamehe na hela yenyewe
 
Jamani mi sio deni la kukopa hela!
Kuna jamaa nimependa vyumba vyake vya biashara,kuna wakati nilikua na cash nilivyoenda akawa kashampa mtu.
Tar 1 kanijia kuna frem mtu anatoka tar 16 mwezi huu niiwahi,nikamjibu naitaka ila sina hela kwa sasa,kesho yake nikampa laki2 ya miezi miwili nikaahidi kumalizia laki4 before tar 16.

Jamani huyu mtu ananidai hadi kero!!
Simu mfululizo mara aache ujumbe nyumbani imekua kero.
Leo nimemwambia sina hela aweke tu mtu mwingine anirudishie changu.
Kero imezidi,kha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom