Je, ulishawahi kulifahamu hili?

Funa the Great

Senior Member
Aug 1, 2022
160
271
Duniani kuna maeneo takribani 1052 yaliyothibitishwa na kutambulika kama urithi wa Dunia. Maeneo 814 ni ya kitamaduni, 203 ni ya asili na 35 ni mchanganyiko (kitamaduni na asili).

Mnamo mwaka 1983 UNESCO ilithibitisha maeneo makuu saba yanayopatikana Tanzania kuwa ni miongoni mwa maeneo yanayotambulika kama ni urithi wa Dunia. Lengo kubwa ilikuwa Kukuza ufahamu juu ya urithi wa kitamaduni wa wanadamu na juhudi zinazohitajika kwa ulinzi na uhifadhi wa maeneo hayo.

Maeneo makuu saba ambayo ni urithi wa Dunia.

1. Mapango ya sanaa Kondoa (Kondoa art caves)
site_1183_0001-750-750-20100301170442.jpg


2. Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo mnara. (Ruins of Kilwa kisiwani and Songo mnara)
site_0144_0027-750-750-20121111133403.jpg


3. Stone Town Zanzibar
site_0173_0001-750-750-20150617114914.jpg


4. Hifadhi ya taifa Kilimanjaro (Kilimanjaro National Park)
site_0403_0001-750-750-20151105162509.jpg


5. Pori la akiba Selous (Selous game reserve)
site_0199_0001-750-750-20151104180640.jpg


6. Hifadhi ya taifa Serengeti (Serengeti National Park).
IMG_20231119_121659.jpg


7. Ngorongoro (Ngorongoro Conservation Area)
site_0039_0001-360-360-20221223092039.jpg


Kwa huduma za Safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania cheki nami +255622174613

Safari za Kifamilia, kiofisi, shule/vyuo, taasisi /kampuni, kirafiki. n.k
 
Kwenda Serengeti national park sh ngapi mkuu
Safari ya kutwa (Day Trip) kutoka Arusha,

Gharama, 950,000/= (Mtu 1, usafiri cruiser)
250,000 (Watu 7, usafiri Cruiser )
195,000/= (Watu 15+, Costa )

Siku Mbili (2DAYS /1 Night)
Gharama, 1,500,000/= (1, Cruiser)
400,000/= (7, Cruiser)
350,000 (15+, Costa)

Inahusisha, usafiri kwenda & kurudi, Kiingilio, Chakula, malazi, muongoza watalii, kuona wanyama, tozo za serikali, parking ya gari
 
Back
Top Bottom