Je ulikutanaje na Mumeo/Mkeo Kabla ya kuwa kwenye Mahusiano?

ilikuwa ni saa sita kasoro usiku..maeneo ya nguzo mbili ungalimited,tulikuwa kundi la vijana kama nane tukiwa na mapanga na marungu,tukiwa tunapandisha esoo kutafta riziki kwa kazi zetu zile za usiku,mbele kulikuwa na ngari ndogo[tax]ilikuwa inashuka kuelekea mitaa ya sinoni,mmoja wetu alirusha kitofali kwenye ile gari na kupasua kioo ghafla dereva akakosa muelekeo na kungonga nguzo.ndipo tulitoka na mapanga na kuvamia ile gari kwa lengo la kupora na kukata kata walio humo ndani...hamadi macho yangu mekundu,yalio jawa na uharamia,na sura langu gumu nidhairi utajua nilivyo mkatili....nilikutana na macho ya msichana mrembo ambae alikuwa analia kwa kuomba msaada,ghafla niliingiwa roho ya kimalaika nakumpenda yule binti.ndipo nikawambia manyangau wezangu hakuna ruhusa ya kupora pale wala kumzuru yule binti.ilitokea ugovi mkubwa sana kwa vile nilikua mtemi kama mkwawa niliwazidi nguvu japo nilikatwa panga la paji la uso.ila niliondoka na yule binti mpaka kwao....msichana hakukubali aliniambia nimeumia twende hosptal.from hapo ndo ikawa mwazo wa mahusiano yangu na yeye ambae leo ni mama watoto na mimi nimeamua kumfata yesu

waaaoh umefanya maamuzi mazuri ya kumfata Yesu ubarikiwe
 
Ooooh hallelujah glory to God
 
waaaoh umefanya maamuzi mazuri ya kumfata Yesu ubarikiwe

Hata mimi (mwenye thread) nampa pongezi kazi kubwa ameifanya dadamtu kwa kuuteka moyo wa mshkaji.

Mbarikiwe sana wandugu....(if he is not kidding)
 
Tulikuwa tunagombea daladala la mwenge posta mpya ....Jamaa akanikandamiza mlangoni mpaka naingia ndani halafu tukakaa siti moja , nikamtusi nikamwambia huna haya kunisukuma mtoto wa kike hivyo ? Aliachia bonge la tabasamu akaniambia Nisamehe Mama .....ni shida hii tu, kwa sasa ni muke na mume na mtoto mmoja pamoja na Kagari ketu kamoja

Dah this is too attractive yaan mmegombana mkatusiana then leo hii wapendanao, kweli haya ni maajabu ya Mungu.maana maajabu ya Mungu sio mpaka viwete watembee tu au vipofu waone hata kukutana katika mazingira magumu kama haya na kuzalisha pendo linalodumu mpaka leo ni maajabu tosha.

God bless you all.

Mmepata kijitoto?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
so interesting...!

Yah inavutia, kama vipi pendekezeni ma JF operator waifanye istick pale mwanzoni kama zile nyingine mbili ili watu wengi zaidi wazidi kuchangia.......

I mean kama hizi.......! ni wazo tu lakini!

Tulikutana Jf,kila post anayoweka nailike hata kama n pumba mm nimo tu nshaona miss nanliu,mwsho wa siku akaanza kuja PM nipa hi nw nakula mzigo kroho saffi mwez wa 6 huuuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tulikutana Jf,kila post anayoweka nailike hata kama n pumba mm nimo tu nshaona miss nanliu,mwsho wa siku akaanza kuja PM nipa hi nw nakula mzigo kroho saffi mwez wa 6 huuuu

wuuuuhuu mbaba unajua kufatilia bigup kwako.
Mpe kitu roho inataka!
 
Now nakaribisha na michepuko pia, ulikutanaje na mchepuko wako ule ambao ulikudatisha kisawasawa.......?
 
mimi nakumbuka ilikua msimu wa mvua hv..nkakutana na binti amenunua mhind wa kuchoma..bac nikamuomba animegee akachekaaaa..kumbe hyo ndo ilikua gia yangu.....kifuatacho nikascore tu.
 
Tulikutana Jf,kila post anayoweka nailike hata kama n pumba mm nimo tu nshaona miss nanliu,mwsho wa siku akaanza kuja PM nipa hi nw nakula mzigo kroho saffi mwez wa 6 huuuu

Ngoja na mimi ninunue "laputopu" nianze kum-like mtu. :becky:
 
dah! umenikumbusha mbali sana.
mimi ilikuwa katika mazingira nisiyoyategemea.nilikuwa na bf ambaye alikuwa ananistress sana.so,nikawa naenda kwa kaka yangu mmoja wa hiari kumuomba advice,wote tulikuwa vijana.akawa ananipa advice mbalimbali.bf alinifanyia vituko vingi sana,mpaka nikaamua kuachana naye.kaka yangu huyo wa hiari akawa ananipa moyo kama dada yake.kumbe moyoni ana lake.siku ya siku mambo yameenda mpaka leo he is my husband and I am a happy married woman,tuna zaidi ya miaka minne kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom