Je ujasiri wa kufanya maandamano haramu yasiyo na baraka walipata kwa nani?

MANIAJE

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
244
461
WACHAWI WA GAMBOSHI WAMEANZA KUFANYA MAAJABU YAO, WAANDAA MAANDAMANO KIMYA KIMYA.

Ivi maandalizi ya maandamano haya yalifanyikia lini?

Je maandalizi haya yalifanywa/kuhamasishwa kwa njia gani, je ni kwa njia ya mikutano ya hadhara au njia ya mitandao?

Kama jibu ni kwa njia ya mikutano ya hadhara, je jimboni kwako walikuja wahamasishaji?

Kama jibu ni kwa njia za mitandao ni mtandao gani ulitumiwa kuhamasisha?

NANI?

26 April 2018 Mwanadada Mange kimambi aliratibu maandamano kwa njia za mitandao.harakati hizo zilikua na wafuasi wengi mno kutoka nje na ndani ya nchi.

Vugu vugu hilo la maandamano lilizua taharuki kubwa kwa watawala mpaka kupelekea jeshi la polisi likatoka makorokoroni na kuja na vitisho vya hali ya juu dhi ya watakaoandamana.Kadiri siku zilivoenda polisi walizidi kuongeza vitisho.

Polisi walianza kupiga mazoezi makali dhidi ya raia wasio kua hata na gobore.
Hapo tuliona polisi wakiranda mitaani na barabarani huku wakiwa na silaha mzito mzito.RPC wa Dodoma Muroto alifika mbali na kusema watakaoandamana watapata tabu sana kipigo chao kitakua ni cha mbwa koko.

Hatimae polisi walifanikiwa kuzima maandamano na badalayake wakaingia mtaani wao na kuanza kuandamana bila kibali

Kituko cha leo>>>

Maandamano hayajulikani yameanzia wapi, yameratibiwa lini, nani kaandaa, waandamanaji wametoka wapi, chombo gani cha habari kilipewa tarehe ya maandamano.
 
Waliachiwa kwa dhamana wote, na aliowadhamini hajulikani au ndio tunasema wamedhaminiwa na wachawi kutoka gamboshi😂😂
 
Amri toka juu inayozuia maandamano siku zote, ndio hiyo hiyo iliyoandaa maandamano haya.
 
Je ujasiri wa kufanya maandamano haramu yasiyo na baraka walipata kwa nani?
Kwanza hawakuhitaji ujasiri, pili yalikuwa na baraka zote kutoka kwa viongozi wasiojulikana.
Maandamano hayajulikani yameanzia wapi, yameratibiwa lini, nani kaandaa, waandamanaji wametoka wapi, chombo gani cha habari kilipewa tarehe ya maandamano.
Yalianzia kusikojulikana, yaliratibiwa na wasiojulikana, waandamanaji walitoka kusikojulikana na mwisho vyombo vya wasiojulikana walipewa habari zisizojulikana na tarehe isiyojulikana.
 
WACHAWI WA GAMBOSHI WAMEANZA KUFANYA MAAJABU YAO, WAANDAA MAANDAMANO KIMYA KIMYA.

Ivi maandalizi ya maandamano haya yalifanyikia lini?

Je maandalizi haya yalifanywa/kuhamasishwa kwa njia gani, je ni kwa njia ya mikutano ya hadhara au njia ya mitandao?

Kama jibu ni kwa njia ya mikutano ya hadhara, je jimboni kwako walikuja wahamasishaji?

Kama jibu ni kwa njia za mitandao ni mtandao gani ulitumiwa kuhamasisha?

NANI?

26 April 2018 Mwanadada Mange kimambi aliratibu maandamano kwa njia za mitandao.harakati hizo zilikua na wafuasi wengi mno kutoka nje na ndani ya nchi.

Vugu vugu hilo la maandamano lilizua taharuki kubwa kwa watawala mpaka kupelekea jeshi la polisi likatoka makorokoroni na kuja na vitisho vya hali ya juu dhi ya watakaoandamana.Kadiri siku zilivoenda polisi walizidi kuongeza vitisho.

Polisi walianza kupiga mazoezi makali dhidi ya raia wasio kua hata na gobore.
Hapo tuliona polisi wakiranda mitaani na barabarani huku wakiwa na silaha mzito mzito.RPC wa Dodoma Muroto alifika mbali na kusema watakaoandamana watapata tabu sana kipigo chao kitakua ni cha mbwa koko.

Hatimae polisi walifanikiwa kuzima maandamano na badalayake wakaingia mtaani wao na kuanza kuandamana bila kibali

Kituko cha leo>>>

Maandamano hayajulikani yameanzia wapi, yameratibiwa lini, nani kaandaa, waandamanaji wametoka wapi, chombo gani cha habari kilipewa tarehe ya maandamano.
Kwa Bashite na Siro!
 
FB_IMG_1567200153032.jpg
 
hahaha nakumbuka april ile nilikuwa mwza polisi walimpiga bodaboda na abiria wake hadi kukaribia kuwauwa sijui kama wapo hai. abiria alikua na camera mkononi wakahisi mwandishi wa habari kumbe sio kweli. nilikua kwenye bar nimekaa na mtu mmoja akaniambia wakati wa kampeni 2015 alihusika kugawa pesa za rushwa ili MAGUFULI ashinde .
nakumbuka pia magufuli licha ya kupenda sifa aliingia uwanjani pale jamhuri akiw amechutama kwenye gari
japo nilisoma mahali kwamba Mange katulizwa kwa mpunga wa 600 ml lakini yule mtu anatisha
 
Back
Top Bottom