je tuna haki ya kujisifia utaifa wa tanzania?

Unyanga

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
402
83
hadhi na heshima ya taifa letu imekuwa ikishuka siku hadi siku na hali imefikia kiwango ambacho huwezi kujisifu kuwa raia wa nchi hii. Viongozi wetu wameondoa mapenzi yetu dhidi ya taifa letu tukufu la tanzania, utendaji wao umeonyesha ni jinsi gani wasivyotupenda kama watanzania na tanzania yenyewe kama nchi. Nimejaribu kufuatilia siasa ndani ya nchi yetu hasa kipindi cha hivi karibuni, nimegundua ya kwamba viongozi wengi tulionao uwezo wao wa utendaji kazi ni mdogo na wamekuwa wakiongozwa zaidi na utashi wa nafsi zao katika baadhi ya mambo yanayowahusu wa tanzania. Nimejaribu kuangalia seruousness yao ktk mambo nyeti ya kuliongoza taifa hili mfano hili la muswada wa marekebisho ya katiba nimegundua kuwa tuendako ni afadhali ya tutokako, JAMANI kama CCM mmeshindwa kuongoza taifa hili turejesheeni nchi yetu tujipngoze wenyewe
 
Kwanini tusijisifu kwa Taifa letu? sababu ya hao wezi wachache?
NO. Viongozi hawawezi kutuondolea utaifa wetu, tunajisifu na kulidhamini taifa kwani tunajua ni kitambo tu madaraka yatarudi kwa wazalendo
 
Niliwapinga sana wale waliosema, bora kuzaliwa mbwa ulaya. Kwa hatua iliyofikia kweli naona bora nchi hii isiwepo kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom