LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 251
- Thread starter
- #41
jamani sio TBC peke yao,hata StarTv nilishuhudia juzi jamaa kairuka title ya CHADEMA, chunguzeni mtaona, taratibu mtastukia ITV na Channel Ten wanaanza kuruka na wao
star tv wao baada ya babu yao dialo kuwa mwenyekiti wa magamba mwanza nao imekuwa balaa tupu, utafikiri redio uhuru.