Je Tanzania kuna Demokrasia ?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Wadau mbona mie kila nikijaribu kufatilia siasa sijawahi kuhisi kama haka ka nchi ketu kana demekrasia jamani???
natamani kuishi nyuma ya dunia
 
Hujawahi kuhisi kama kuna demokrasia hapa nchini???????

Umefatilia wapi kuihisi hiyo demokrasia???
 
Demokrasia hakuna nchi duniani iliyo na demokrasia kwa misingi ya demokrasia. fkiria hata US hawana demokrasia kwa kuwa demokrasia si tu kuhusu kingine bali haswa katika kuhesabu kura ni kipimo maalumu sana cha demokrasia. Hakuna nchi duniani ambayo hakuna kauli baada ya uchaguzi kama ooo unajua kura hazikuhesabiwa vizuri na zinazofanana na hizo. Hii ni ishara hamna demokrasia. Sasa Tanzania maskini ya Mungu hii kauli hadi uchaguzi wa class monitor chekechea kauli hizi zipo. Jadili mwenye au now you are on your own!!!!
 
asante sana Mshiiiri ila wakati natoa post hii jamani sio utani nilipata maumivu makali ya jino nikakimbia mnisamehee so nikashindwa kumalizia nilikuwa namaanisha nini

Maana yangu ilikuwa kwenye Siasa za nchi hii sioni kama kuna demekrasia za aina yoyote

sijui kama imekaa sawa ..tommorow i will be fine eeeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom