Je, Tanzania imeokoa Trillion 3 za hasara ya foleni Ubungo flyover?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,082
40,735
Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.

Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
 
Hesabu umepiga wewe ukaja na jibu kisha unatuuliza uhalisia wake. Hata yeyote anaweza fyatuka akasema hauko sahihi kiasi kilichookolewa ni 1.6 trilioni bila maelezo yoyote na hataweza kuhojiwa. Nyinyi ndio mlikuwa mnakunywa uji mwingi shule
 
Toa maelezo ya hizo hesabu za haraka haraka. Bango lako linakosa facts hivyo inakuwa ngumu kujadili. 3 trillion imeokolewa vipi, bila maelezo yenye vielelezo unakuwa unapiga zumari mkuu.
 
Umepigaje hizi hesabu?na hizo pesa ziko wapi
 
Asilaumiwe sana. Tanzania wengi ndivyo walivyofundwa na kufundishwa. Estimations zilianzia kule kwenye kufoji praktikoz. Wataalam wengi maofisini wanaanza na majibu ya matatizo, then wanaenda field kufuatilia approach na strategy.

Si ajabu timu za mpira wa miguu zinaingia uwanjani matokeo yakiwa tayari kumifuko!

Umepigaje hizi hesabu?na hizo pesa ziko wapi
Toa maelezo ya hizo hesabu za haraka haraka. Bango lako linakosa facts hivyo inakuwa ngumu kujadili. 3 trillion imeokolewa vipi, bila maelezo yenye vielelezo unakuwa unapiga zumari mkuu.
Hesabu umepiga wewe ukaja na jibu kisha unatuuliza uhalisia wake. Hata yeyote anaweza fyatuka akasema hauko sahihi kiasi kilichookolewa ni 1.6 trilioni bila maelezo yoyote na hataweza kuhojiwa. Nyinyi ndio mlikuwa mnakunywa uji mwingi shule
 
Mkuu unaakili nyingi kumbe unauwezo wa kupiga hesabu za haraka hadi tirioni.
Sie wengine laki tu hadi tuturie sehemu tena ni taratibu
 
Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.

Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?

Hicho kiwango hakina uhalisia, tulichookoa hadi sasa ni Trillion 892.
 
Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.

Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
Kwamba tujadili hisia zako?
Kwamba umekunywa kvant yako ukatengeneza namba zako afu unataka watu wazijadili? Kalale dogo
 
pesa nyingii zimeokolewa pale kuanzia kwa mtu mmoja mmoja, gari zilikuwa zinapoteza wese pale nusu saa nzima gari ipo sailensa assume zinapotea lita mbili kila gari asubuh na jioni jumla nne 4*2300=9200 *magari Laki moja(est..)kwa siku, na pikipik

Watu walikuwa wanachelewa kazini kwenda kuzalisha mali mtu anfika kazini saa tatu keshapoteza lisaa ambalo angeweza ichangia serikali kodi ya angalau eflu tano kwa lile lisaa mara watu laki tano kwa siku,

Gari zinavujisha oili zinaharibu lami ,hewa chafu moshi pale unasambaa kwa muda mwingi eneo lile gRi kusimA muda mrefu
 
Bila kusahau phsychological stress ya kukaa foleni muda mrefu ambayo inaweza hata kuleta msongo wa mawazo na magonjwa ya moyo. Hadi unashangaa, hawa wengine wanaokopa pesa kwa ajili ya maendeleo ya usawa wa jinsia na uzazi, huwa wanawaza nini ilihali kuna sekta nyingi za msingi bado hazijakaa sawa?!
 
Back
Top Bottom