Je,SITTA na MWAKYEMBE ni kweli wamejiudhulu?

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Kuna habari imetufikia hapa ofisini kuwa watajwa hapo juu wamejiudhulu kutokana na kashfa ya DOWANS.

mwenye data atujuze jamani.
 
Ila nami nimezisikia zikiongelewa mtaa fulani hapa Dar...tena kwa shoe shiner
 
hapa kwetu kuna mtu kapigiwa toka home kwake kuwa imeruka kwenye tv bila kueleza ni tv gani imerusha!
sasa hapa ndo pana changanya mambo!
 
shoe shinner, wachonga mihuri na wauza kahawa wa mjini huwa wana story zenye ukweli kwa more than 50% usiniulize nimepata wapi hizo stats
 
yap, kisoda lazima atakuwa ni shoe shiner maana alipobanwa kasema amesikia hizi habari kwa shoe shiner. Jf imeingiliwa.
 
kuna 'shoe shiner' na 'shoe shiner undercover'
kwani shoeshiner hawezi kuwa great thinker?
 
u great thinker unakuja kwa mchango wako unaoleta manufaa kwa jamii na si kuleta habari za kupika.
 
Hata kama hawajajiuzuru,hawa mabwana kutokana na msimamo wa chama chao juu ya dowans wanapaswa kujiondoa huko.Na wakifanya hivyo nitaamini kuwa wako kwa ajili ya maslahi ya taifa na si chama.
 
i beg2differ kidogo, naona kama wamekaa ki maslah binafsi zaidi! , ngoja nika lale, kesho nitakufafanulia zaidi. Wakijiuzuru kwa kuwa hawakulitendea haki taifa kwenye swala la richmond cum dowans nitawaungamkono always. Otherwise- ubinafsi zaidi unatawala.
 
poa!usingizi mwema....!
 
Jamani tusome mada between the line, aliyeandika thread hajasema WAMEJIUZURU bali amesema WAMEJIUDHULU sasa mnamshambulia ooooh umbea mara oooo uongo mara oooo source wapi. Kimsingi hakumanisha Dr Mwakyembe na Sitta wamejiuzuru, ila alikuwa na maana tofauti kama mtu hakuelewa aulize alimaanisha nini.
 
Back
Top Bottom