Je Serikali Imefilisika Kiasi cha Kushindwa Kulipa Mshahara wa September?

Funge

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
581
165
Wanabodi hebu tujuzeni. Hapa kazini kwangu tumezoea kupokea mshahara tarehe 25 ya kila mwezi. Lakini cha ajabu mpaka leo haikulikani mshahara utatoka lini. Maelezo tunayopata ni kwamba pesa ya mshahara toka Hazina haijaingia kwenye account.

Je hii ni kwetu tu au na kwingine pia? na kama na kwengine ni hivyo tatizo ni nini?
 
Wewe kwako wapi?
 
mmmh! hali tete.. nimesainishwa memo mida hii hii kuhusu hlo.
 
hili suala la ,mishahara tete sana, hili liserikali kwisha kazi yake,na walivyo wajanja wafanyakazi local gvt wamepata msharaha kazi kwa wale wa serikali kuu!!!!! wagawe uwatawale!
 
mfumo mpya wa epicus 9..unawatoa jasho wahasibu wa sirikali ktk kuload pesa na info husika..ila navosikia kua ushaanza tengamaa mtakao pokea mshahara mtukumbuke na sie wasakatonge lol
 
Hata kwingine bado.Tunahisi pesa imetumika kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea.Kibaya zaidi ni kwamba jamaa wako kimya kabisa,as if there is nothing wrong.Jamaa wana roho mbaya sana.
Wanabodi hebu tujuzeni. Hapa kazini kwangu tumezoea kupokea mshahara tarehe 25 ya kila mwezi. Lakini cha ajabu mpaka leo haikulikani mshahara utatoka lini. Maelezo tunayopata ni kwamba pesa ya mshahara toka Hazina haijaingia kwenye account.

Je hii ni kwetu tu au na kwingine pia? na kama na kwengine ni hivyo tatizo ni nini?
 
Comment yako iko vague na ina ukweli kidogo sana.
hili suala la ,mishahara tete sana, hili liserikali kwisha kazi yake,na walivyo wajanja wafanyakazi local gvt wamepata msharaha kazi kwa wale wa serikali kuu!!!!! wagawe uwatawale!
 
Tunaomba details zaidi.Kwani hawakujianda kutumia hiyo system mpya.Na unalosema ni kweli?
mfumo mpya wa epicus 9..unawatoa jasho wahasibu wa sirikali ktk kuload pesa na info husika..ila navosikia kua ushaanza tengamaa mtakao pokea mshahara mtukumbuke na sie wasakatonge lol
 
hivi hii ki2 haijaingia bado?? ngoja nikamwulize dogo, manake amekaa kimya wal hajanisumbua so nikajua mambo safi
 
mfumo mpya wa epicus 9..unawatoa jasho wahasibu wa sirikali ktk kuload pesa na info husika..ila navosikia kua ushaanza tengamaa mtakao pokea mshahara mtukumbuke na sie wasakatonge lol
Hii sababu inatolewa tu kuwatuliza wananchi, ukweli ni kuwa pesa hakuna.
 
Back
Top Bottom