Je, Sabaya naye kurejeshwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,512
220,207
Baada ya kumrejesha Makonda , Dr Hangaya akitetea uamuzi wake huo alisema kwamba , Makonda hakuwahi kuikosea ccm , " mligombana wenyewe kwa wenyewe huko "

Sasa kwa vile Sabaya naye hakuwahi kugombana na ccm , bali aligombana na aliowateka kwa mtutu wa bunduki , huku akiweka namba za kizushi za UN kwenye magari aliyoyatumia kwenye uharamia huo , na labda aliweka Chumvi kwenye injini za magari ya Mbowe ili kuyaharibu , Je sasa naye atalamba shavu ?

FB_IMG_1698560684937.jpg
 
Milele tena....

Kidumu chama cha mapinduzi...

Kigumu kutoka madarakani...

Ccm Oyeeee...
 
Kama chadema walimchukua lowasa kugombea urais ambaye walimtuhumu kwa miaka nane wakiwa na makabrasha waliyoita ushahidi sioni shida hao wengine wakipewa nafasi kwa tuhuma za chadema. Maana siku wakihamia kwenu mtawapa nafasi wapeperushe bendera za urais.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
nje ya mada
 
Mnahangaika na wateuliwa warejeshwao wakataliwao mnaacha kufanya ya muhimu..
Upinzani ni scam
Join the chain imewafungua watu akili
 
Ifike mahali kazi ya kuhukumu iwe ni ya Mahakama pekee ambacho ndicho chombo chenye wajibu na haki ya kusema ni nani mkosaji hapa duniani.

Kuhusu Mbinguni basi ni Mungu ajuaye.

Acheni maneno!

Pia kumbuka Siasa haina adui wala rafiki wa kudumu.
 
We ukishikwa Nyege tu unakuja kuweka upupu hapa.
Kama Sabaya yuko cleared na mahakama akiteuliwa cheo chochote kile we inakuathiri wapi?
Unatujazia server hapa kwa upumbavu tu na ushumbwanda wako.
Umeandika kisomi sana ! kwani ulisoma Makerere ?
 
Baada ya kumrejesha Makonda , Dr Hangaya akitetea uamuzi wake huo alisema kwamba , Makonda hakuwahi kuikosea ccm , " mligombana wenyewe kwa wenyewe huko "

Sasa kwa vile Sabaya naye hakuwahi kugombana na ccm , bali aligombana na aliowateka kwa mtutu wa bunduki , huku akiweka namba za kizushi za UN kwenye magari aliyoyatumia kwenye uharamia huo , na labda aliweka Chumvi kwenye injini za magari ya Mbowe ili kuyaharibu , Je sasa naye atalamba shavu ?

View attachment 2796909
Badala kupanga safu zenu za vikoba kutwa kuangazia kwenye majiko ya watu kunapikwa nini..wenzenu Act wazalendo wameshinda mtambwe kwa tume hii hii ya uchaguzi chadema wamekalia majungu tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom