LOSEJMASAI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 332
- 849
Mkuu ninavyo juu kwenye utafsiri wa sheria moja ya princile kuna hizi mbili,Mkuu hapo kuna ukinzani Wa sheria itoshe kusema washauri Wa Rais wamempotosha Mkuu wa Taifa letu kwa kutokuzingatia matakwa ya Kifungu cha 81 cha Sheria ya Mipango Miji kilichohamisha mamlaka ya upangaji kwa mamlaka ya uwakilishi wa wananchi.
Hata aliyedhani mamlaka hayo yametokea kwenye sheria ya 1982 naye hakujipa muda wa kutosha kusoma Kifungu cha 81 cha Sheria ya Mipango Miji ( Na. 8 ya 2007) na schedules zake
1. A specific law on a specific issue, overrules a general law.
2. A recent law on a similar issue, overrules the old law on the similar issue.
Sasa ukiachana na hiyo namba moja, namba mbili kwenye hii issue inatumika vizuri.