Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Dodoma katika maadhimisho ya Sherehe ya miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ameipandisha Manispaa ya Dodoma na kuwa jiji la Dodoma. Aidha Mkurungenzi wa Manispaa hiyo amempandisha na kuwa Mkurungenzi wa jiji la Dodoma

Kwa mujibu wa Sheria na. 8 ya 2007 kifungu cha 5, mamlaka yenye uwezo wa kupandisha hadhi manispaa kuwa jiji ni Bunge

Je, kuna kifungu cha sheria au kanuni inayompa Rais wa Tanzania uwezo wa kufanya Manispaa kuwa Jiji?

Hiki ni kipimo tosha kwamba Bunge letu limeshikwa
 
Kaka usipingane na malaika mkuu,leo kichwa hakikuwa sawa saaaaaana hasa ukizingatia pia mawingu.
Nenda tu kwenye sheria za serikali za Mitaa mamlaka za wilaya na mamlaka za miji utaona alicho kifanya. Kimsingi sheria hiyo ya upangaji inazo kasoro. Land Planning should confine it self on land matters only. Ni sawa na kusema kuwa eneo flani limewiva kupangwa likapangwa alafu ukawa mji wakati specific laws za local government Authorities zinaelekeza who does what and how. Ni matumaini yangu kuwa mkulu yuko sahihi
 
Mkuu hapo kuna ukinzani Wa sheria itoshe kusema washauri Wa Rais wamempotosha Mkuu wa Taifa letu kwa kutokuzingatia matakwa ya Kifungu cha 81 cha Sheria ya Mipango Miji kilichohamisha mamlaka ya upangaji kwa mamlaka ya uwakilishi wa wananchi.

Hata aliyedhani mamlaka hayo yametokea kwenye sheria ya 1982 naye hakujipa muda wa kutosha kusoma Kifungu cha 81 cha Sheria ya Mipango Miji ( Na. 8 ya 2007) na schedules zake
 
Nenda tu kwenye sheria za serikali za Mitaa mamlaka za wilaya na mamlaka za miji utaona alicho kifanya. Kimsingi sheria hiyo ya upangaji inazo kasoro. Land Planning should confine it self on land matters only. Ni sawa na kusema kuwa eneo flani limewiva kupangwa likapangwa alafu ukawa mji wakati specific laws za local government Authorities zinaelekeza who does what and how. Ni matumaini yangu kuwa mkulu yuko sahihi
Lakini mkuu this is not "land planning Act" ni "Urban Planning Act" sasa sijui swala la land linatoka wapi.
 
Nenda tu kwenye sheria za serikali za Mitaa mamlaka za wilaya na mamlaka za miji utaona alicho kifanya. Kimsingi sheria hiyo ya upangaji inazo kasoro. Land Planning should confine it self on land matters only. Ni sawa na kusema kuwa eneo flani limewiva kupangwa likapangwa alafu ukawa mji wakati specific laws za local government Authorities zinaelekeza who does what and how. Ni matumaini yangu kuwa mkulu yuko sahihi
Yaani maoni yako ndo sheria inavyotaka.Sheria hii ilitungwa miaka 12 baadae baada ya kuptishwa kwa sheria za local government authority.Hata hvyo umechanganya mambo hapa tunazungumzia urban planning act sio land
 
Magufuli yupo sahihi 100%, katiba na sheria zilizopo zinampa mamlaka hayo ninyi ndio majuha hamjui kitu mnaingiza siasa kwenye kila jambo
 
Sheria gani mkuu? Maana nimepitia hiyo ya "urban planning inasema mampaka hiyo ni ya National Assembly. Lakini kama kuna sheria yoyote inayosema tofauti ningependa kuijua pia, we are just learning.
 
Back
Top Bottom