Je rais kama mtumishi wa umma, hawezi kukopa kwa mshahara wake?

Umewaza nn wee jamaa
FB_IMG_16616310414987695.jpg
 
Hahahaha
Sicheku kwa kubeza. Bali nawaza rais anakopaje wakati hela zote ni zake?

Si unasikia hata madelu anavyopiga chorus kuwa mama katoa hela ziende huku na kule?
Pesa hawa si za rais, bali rais huweza kupendekeza kutegemeana na uhitaji kwa ukubwa wake kimsingi mipango huwa imekwisha pangwa, kwa fedha husika kwa kila sekta, Rais anaweza kuongeza au kupunguza fedha kuendana na uhitaji hapo ndipo hutamkwa "rais ametoa kiasi kadhaa wa kadhaa...."
 
Kifungu kipi cha sheria ama ibara ya Katiba inayompa uwezo huo?
 
Nilikuwa naomba kujuzwa hili?, na je kwa mshahara wake kiwango chake cha mkopo kinaweza kufikia kiasi gani kwa kuwa rais huwa na mshahara mnono sana.
Kunavitu ambavyo rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania akishaapishwa hatakiwi kuwa navyo. Moja wapo ni madeni. Ikitokea amechaguliwa akiwa na madeni, serikali itamlipia madeni yote. Na hivyo haruhusiwi kukopa. Hata hivyo hana sababu ya kukopa kwa maanda anahudumiwa na serikali kila kitu. Hata kama akihitaji kondom, atanunua kwa pesa ya serikali.
 
Back
Top Bottom