Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,176
- 20,648
Rais Amevunja Katiba?
Hana Mamlaka ya Kunyang'anya Majukumu ya Waziri Mkuu na Kumgawia Mtu Mwingine.Ingekuwa hivyo Katiba ingeliweka Bayana.
Ibara ya 36(1) ya Katiba ya JMT ina mpa mamlaka Rais ya kuunda au kufuta Ofisi katika Utumishi wa Uma.Siyo Kufuta au Kuunda Ofisi katika Ofisi ya Waziri Mkuu.Mamlaka ya Rais kuhusiana na Ofisi ya Waziri Mkuu yako katika Ibara ya 51(1) ,(2) na (3) a hadi e na 53 (1).
Ukiisoma Katiba Haihusishi kumpa uwezo Rais kudokoa au kupunguza au kumpa mtu Mwingine Mamlaka ya Waziri Mkuu .
Ibara ya 52(1) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muingano wa Tanzania Imeweka bayana Mamlaka yote ya usimamizi wa shughuli za kila siku za serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na kuhusu uendeshaji unaongozwa na Ibara ya 53
JE, Kuwa na Naibu Waziri Mkuu kwa muhtadha ya maelezo ya majukumu yake tuliyoelezwa ni Ukiukaji wa makusudi wa Katiba ya Nchi.
Pia soma