Je, NSSF wanaiba michango ya wananchama?

New york City

Senior Member
Jul 24, 2020
175
566
Habari wadau naomba kueleza kifupi

Baada ya kumaliza mkataba wa ajira nilienda nssf kudai mafao yangu after six hard months nikapewa 33.3 ya salary kila mwezi kwa miezi sita.

Baada ya miezi 18 nikarudi kudai the rest na kujaza kila kitu nikisubiri pesa ambazo ni zaidi ya 10+ million.

SASA nimelog in kwenye account yangu naona status: PAID kurudi kwenye account nimekuta 800k tu

Nimeenda ofisini nazungushwa tu huku baadhi ya watu wakiniambia hawajawahi kuona kitu kama hicho.

SWALI: je kuna mtu yoyote imewahi kumtokea hii? alipata solution? Msaada jamani msimu wa kupanda huu niliplan kulima Ufuta ndoto zangu zitazimwa na hawa watu

Msaada tafadhali
 
Nadhani wanalipa kwa installment ikiwa pesa yako inazidi 10 mil alafu wanalipa yote kama ni under 5 mil sina uhakika lakini subiri wajuvi wa mambo waje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom