Je nini mchango wa TLS kuelekea Katiba Mpya?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,210
Naomba kujua mchango unaotolewa na Tanganyika Law Society (TLS) katika mchakato wa Katiba Mpya.
Naomba kama wanatarajia kuandaa mijadala kwenye redio au TV, kujua hivyo kutatusaidia tupate mwanga kutoka kwa wanasheria wataalamu ambao wamechambua Katiba za nchi mbalimbali na kujua udhaifu na uimara wake.
Tanzania itajengwa na Watanzania.
 
Kama alivyosema Lisu hawa ni waoga, wanatetea maovu. Bure kabisa wanafikiria pesa tu. Shyster lawyers!!!
 
Back
Top Bottom