kumbe,basi nitakutafuta,wanaume kama nyinyi ni adimu siku hizi,isije ikawa gia tu hiyo ya kutudanganya hapa jf.maana wapo humu wadanganyifuSante kisukari,Mi nipo ktk category ya hiyo Red mark!
Thubu2! Ukimfunulia ujue humpati tena. Kama ana nia ya kweli na wewe bac atavumilia mpaka siku ya aruc
TE HE TE HE......... HUYU WA KUOA, ANANYIMWAAKITOKA PEMBENI KWA WAZAMANI.......anapgwa......duuuuuu..... mi sikubali,,, ukitaka nikuoe, nipe ile kitu......GIRLS you are so funnnnn. I can believe this works only to a lady who didn't meet with a man before ( doing sex before).katika maisha yako umesha shiriki mapenzi na wanaume wengine sasa kwa nini huyu umwambie mpaka muoane? au kwasababu kakwambia anataka kukuoa ndo unataka kujifanya wewe mwaminifu sana? mbona Hao wengine walio wahi kusex na wewe hawakukuoa . Kwanza mnasubiri nini? si muoane sasa, hau hamna pesa za sherehe tuwachangie?
kumbe,basi nitakutafuta,wanaume kama nyinyi ni adimu siku hizi,isije ikawa gia tu hiyo ya kutudanganya hapa jf.maana wapo humu wadanganyifu