Je, Nimuonjeshe? Naomba ushauri

Thubu2! Ukimfunulia ujue humpati tena. Kama ana nia ya kweli na wewe bac atavumilia mpaka siku ya aruc
 
You can make your own decision sio mpaka ulete mambo ya ndani hivyo in public...hujaundishwa wewe maadili? Mambo kama hayo unapaswa kumwuliza shangazi au mama yako mzazi-if your are of age you know what to do.Sasa kutokana na mashauri ya wanaJF, utafuata lipi? utapiga kura kuona ni wangapi wanasema "mpe" na wangapi wanasema "usimpe"? Hivyo ndivyo utakavyokuwa ukitaka kufanya maamuzi kuhusu persona issues kama hiyo? Kma wengi wakisema "mpe" kwa hiyo utampa!!!!! Goosh that is so sick. Where is your own conscience? Morals? Values? Hujafundishwa?
 
Hiyo iko kinadharia zaidi (theory). Ni wangapi wameoa mabikra? Wa kuoa anaoa na haoi kwa kuwa wewe ni bikra or not. Kwani waweza kuwa huna hiyo bikra na hujawahi kumpatia hiyo kitu does it mean atakupa talaka na ameshakuoa??? Maisha hayana formula kama una nuksi hata uwe bikra utadoda tu. Kwani bikra inabandikwa usoni?? Na ni ngumu sana kupata binti aliyeenda vidato afu ni bikra unless wale ambao wako kiume zaidi kwa maana ya kuwa hawana watu wanaowasumbua maishani. Ukioa under 18 waweza pata bikra lakini ao tweny something napata shaka iweje hamna aliyemsumbua mpaka wewe uikute, isije ikawa unaoa mwanamke bikra ila ni character.


Thubu2! Ukimfunulia ujue humpati tena. Kama ana nia ya kweli na wewe bac atavumilia mpaka siku ya aruc
 
GIRLS you are so funnnnn. I can believe this works only to a lady who didn't meet with a man before ( doing sex before).katika maisha yako umesha shiriki mapenzi na wanaume wengine sasa kwa nini huyu umwambie mpaka muoane? au kwasababu kakwambia anataka kukuoa ndo unataka kujifanya wewe mwaminifu sana? mbona Hao wengine walio wahi kusex na wewe hawakukuoa . Kwanza mnasubiri nini? si muoane sasa, hau hamna pesa za sherehe tuwachangie?
TE HE TE HE......... HUYU WA KUOA, ANANYIMWAAKITOKA PEMBENI KWA WAZAMANI.......anapgwa......duuuuuu..... mi sikubali,,, ukitaka nikuoe, nipe ile kitu......
 
Endelea kumbania watampa wengine na atawaoa,unampa kwa sababu umejisikia kufanya hvo au ili akuoe! Angalia sana usije ukamkosa maana nahisi tayari ushakwepa mishale mingi.
 
kama bado bikra kaa na bikra yako mpaka ndoa ila kama wameshakuchakachua we mpe tu kwasababu kama ni wakuonja na kuondoka ataondoka hata kama kakuoa na hasa asipokuta bikira.
 
Hyo stori yako haihusu kbs, wangapi wanafanya sex bfr marriage wamedumu? Mwanaume hata ukimpa sex bfr usimpe km hakupendi hakupendi 2. Tena bora umpe ili isije ikawa anakutaman unamnyima anachakachua nje.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom