Je nikweli kunyonyoka nywele kisogoni

clemencemlai

Member
May 3, 2010
24
2
wanawake wenye uwezo mkubwa wa ku do , ndo huwa wananyonyoka nywele kisogoni ,napia sio wavivu
uwanjani na hawapendi kumiss kipindi
 
Hii ndio kwanza naisikia. Hebu tufafanulie zaidi kwa undani!
 
kweli 'kua uyaone' yani na umri wangu wote huu bado kuna mapya mengi kiasi hiki.

Umenichekesha kweli Never eti na umri wako wote huo...sijui una miaka mingapi lakini dah kweli wacha tukue tuendelee kuyaona.

sasa Clemence hata sijui huu utafiti wako umeufanyia wapi kwa vigezo vipi.
 
Umenichekesha kweli Never eti na umri wako wote huo...sijui una miaka mingapi lakini dah kweli wacha tukue tuendelee kuyaona.

sasa Clemence hata sijui huu utafiti wako umeufanyia wapi kwa vigezo vipi.
umri tu si kigezo pekee katika kujua mambo, yategemea unashiriki shughuli zipi? na mazingira ulyopo,ndo maana tuna badilishana
mawazo
 
tena kuna uwezekano kuwa hao ndo wavivu ndo maana wanyonyoke nywele kishogoni kwa ajili ya kufanya tu kifo cha mende.
 
Back
Top Bottom