Je, niende au nisiende?

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Wakuu hope ni wazima wa afya.

Kama mmekuwa mkinifatilia Toka juzi baada ya kuanza pep TLD, sasa yule binti jana nimeonana nae, nime mshawishi kuhusu kupima akasema yupo tayari, kuwa leo saa tano nichukue vipimo tukapime wote kwa pamoja.

Lakin roho yangu inanambia niendelee kutumia pep tu hadi dose iishe.

Nipo njia panda je niende au nisiende.
 
Usije ukaacha kutumia doz kwaajili ya bia za free za sikukuu.
Hiyo zingatia zaidi, dozi ikiisha utakunywa na kupima
 
Back
Top Bottom