Je, ni Wakati Muafaka Simba SC Kuipotezea Michuano ya CAF Super League?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Sisi sote tumejionea perfomance ya anayejiita klabu bora 19 barani afrika.

Sijui umenielewa?

Yaani nawazungumzia wale walio leta orodha kuwa na wao wamo ndani ya klabu 10 bora barani afrika.

Hawa jamaa zetu mpaka sasa mechi 5 zilizopita walizo cheza ugenini hawaja shinda hata mechi 1. Lakini bado ukiwasikia sauti zao wanakwambia wao wako 10 bora afrika.

Sasa hawa jamaa zetu juzi juzi eti nao waliposti picha mitandaoni wakionyesha wako kwenye vikao kuhusu CAF Super League.

Je unadhani na kikosi chao hiki cha tia maji tia maji wanaweza kweli shindana na wababe wa bara ikiwa klabu ndogo kama berkane (Azam FC ya morroco) wame wanyanyasa nna ile?

Hapo umekutana na Berkane na sio ES de Tunis au WAD Casablanca wala Orlando Pirates.

Kwasababu hata mimi ninawatamani hawa wapuusi, na likosi lao libaya ilo.

Au isije kuwa Babra alienda tu kuomba nafasi ya upendeleo ili nao washiriki?

Hawa Jamaa wana vituko sana yaani.

Halafu kuna jamaa ambae nilikuwa namwelezea kwamba hawana uwezo wa kupambana kwenye haya mashindano makubwa Afrika akawa mbishi akaniambia anaitamani Mamelodi Sundowns, sasa kama hawa Berkane wanakuzabua namna hii utawezana kweli na watu walio na full facility ya soka.

Ni nani mwingine anaye shangazwa na hawa jamaa.
 
Ni nani.mwingine anaye shangazwa na hawa jamaa.
Kwani juzi hukuona jinsi Al Ahly akitandikwa nyumbani kwake?
Acha umanara wewe, mpira ni kuzidi na kuzidiwa wakati mwingine.
 
Super CUP ina vigezo vyake.
1. Timu iwe na uongozi unaoeleweka.
Kigezo hichi Simba anacho na hakuna timu nyingine yoyote Tanzania yenye sifa hii.
2. Timu iwe na mpango kazi unaotekelezeka.
Simba ina malengo na huwa inafuata malengo yake. Yanga malengo yanaishia kwenye makaratasi tu mfano alishundwa ku demonstrate kwa River United.
3. Iwe na uchumi imara.
Simba ipo chini ya Tajiri no.1 Afrika mashariki na kati. Yanga wapo chini ya madalali wa magari na magodoro.
4. Timu yenye ushindani mashindano ya CAF.
Hapa haina haja ya kueleza, Simba inafanya vizuri wakati wote.
 
Sisi sote tumejionea perfomance ya anayejiita klabu bora 19 barani afrika.

Sijui umenielewa?

Yaani nawazungumzia wale walio leta orodha kuwa na wao wamo ndani ya klabu 10 bora barani afrika.

Hawa jamaa zetu mpaka sasa mechi 5 zilizopita walizo cheza ugenini hawaja shinda hata mechi 1. Lakini bado ukiwasikia sauti zao wanakwambia wao wako 10 bora afrika.

Sasa hawa jamaa zetu juzi juzi eti nao waliposti picha mitandaoni wakionyesha wako kwenye vikao kuhusu CAF Super League.

Je unadhani na kikosi chao hiki cha tia maji tia maji wanaweza kweli shindana na wababe wa bara ikiwa klabu ndogo kama berkane (Azam FC ya morroco) wame wanyanyasa nna ile?

Hapo umekutana na Berkane na sio ES de Tunis au WAD Casablanca wala Orlando Pirates.

Kwasababu hata mimi ninawatamani hawa wapuusi, na likosi lao libaya ilo.

Au isije kuwa Babra alienda tu kuomba nafasi ya upendeleo ili nao washiriki?

Hawa Jamaa wana vituko sana yaani.

Halafu kuna jamaa ambae nilikuwa namwelezea kwamba hawana uwezo wa kupambana kwenye haya mashindano makubwa Afrika akawa mbishi akaniambia anaitamani Mamelodi Sundowns, sasa kama hawa Berkane wanakuzabua namna hii utawezana kweli na watu walio na full facility ya soka.

Ni nani.mwingine anaye shangazwa na hawa jamaa.
Unasema Simba amecheza mechi 5 ugenini hajashinda hata mechi moja, haya nitajie timu ambayo imeshinda ugenini..!

Acha kuna na akili ya Manara kuropoka bila mpango kwa sababu ya njaa

Simba SC ndo inawatoa tongo tongo zenu Kimataifa kwa miaka yote.
 
Kwani juzi hukuona jinsi Al Ahly akitandikwa nyumbani kwake?
Acha umanara wewe, mpira ni kuzidi na kuzidiwa wakati mwingine.
Ni kweli AL AHLY alifungwa lakini hakuwa na 0 shoot on target.
20220215_174306.jpg
 
Jaman Simba kufungwa imekuwa nongwa? Mbona kila timu kwenye kundi lao kafungwa ugenini?
Moja yako bado ni dhaifu
Sisi sote tumejionea perfomance ya anayejiita klabu bora 19 barani afrika.

Sijui umenielewa?

Yaani nawazungumzia wale walio leta orodha kuwa na wao wamo ndani ya klabu 10 bora barani afrika.

Hawa jamaa zetu mpaka sasa mechi 5 zilizopita walizo cheza ugenini hawaja shinda hata mechi 1. Lakini bado ukiwasikia sauti zao wanakwambia wao wako 10 bora afrika.

Sasa hawa jamaa zetu juzi juzi eti nao waliposti picha mitandaoni wakionyesha wako kwenye vikao kuhusu CAF Super League.

Je unadhani na kikosi chao hiki cha tia maji tia maji wanaweza kweli shindana na wababe wa bara ikiwa klabu ndogo kama berkane (Azam FC ya morroco) wame wanyanyasa nna ile?

Hapo umekutana na Berkane na sio ES de Tunis au WAD Casablanca wala Orlando Pirates.

Kwasababu hata mimi ninawatamani hawa wapuusi, na likosi lao libaya ilo.

Au isije kuwa Babra alienda tu kuomba nafasi ya upendeleo ili nao washiriki?

Hawa Jamaa wana vituko sana yaani.

Halafu kuna jamaa ambae nilikuwa namwelezea kwamba hawana uwezo wa kupambana kwenye haya mashindano makubwa Afrika akawa mbishi akaniambia anaitamani Mamelodi Sundowns, sasa kama hawa Berkane wanakuzabua namna hii utawezana kweli na watu walio na full facility ya soka.

Ni nani.mwingine anaye shangazwa na hawa jamaa.
 
Ninyi mnao iponda Simba. Hamuamini kuwa Simba ina uwezo wa kuzishinda timu zote pale Dar kwa Mkapa?

Kufungwa kule Moroko ni makosa ya approach tu. Ile timu inafungika na kikosi hikihiki cha Simba. Tusubiri mtakapoanza sema vyumba vimepuliziwa uvumba.
 
Jaman Simba kufungwa imekuwa nongwa? Mbona kila timu kwenye kundi lao kafungwa ugenini?
Moja yako bado ni dhaifu
Asec Mimosas alifungwa lakini haikuwa kwa Unyonge na Uonevu kwa namna ambayo wale Jamaa walivyo wafanya.

Nadhani tatizo lilikuwa ni uwezo baina ya timu hizi 2.
 
Sisi sote tumejionea perfomance ya anayejiita klabu bora 19 barani afrika.

Sijui umenielewa?

Yaani nawazungumzia wale walio leta orodha kuwa na wao wamo ndani ya klabu 10 bora barani afrika.

Hawa jamaa zetu mpaka sasa mechi 5 zilizopita walizo cheza ugenini hawaja shinda hata mechi 1. Lakini bado ukiwasikia sauti zao wanakwambia wao wako 10 bora afrika.

Sasa hawa jamaa zetu juzi juzi eti nao waliposti picha mitandaoni wakionyesha wako kwenye vikao kuhusu CAF Super League.

Je unadhani na kikosi chao hiki cha tia maji tia maji wanaweza kweli shindana na wababe wa bara ikiwa klabu ndogo kama berkane (Azam FC ya morroco) wame wanyanyasa nna ile?

Hapo umekutana na Berkane na sio ES de Tunis au WAD Casablanca wala Orlando Pirates.

Kwasababu hata mimi ninawatamani hawa wapuusi, na likosi lao libaya ilo.

Au isije kuwa Babra alienda tu kuomba nafasi ya upendeleo ili nao washiriki?

Hawa Jamaa wana vituko sana yaani.

Halafu kuna jamaa ambae nilikuwa namwelezea kwamba hawana uwezo wa kupambana kwenye haya mashindano makubwa Afrika akawa mbishi akaniambia anaitamani Mamelodi Sundowns, sasa kama hawa Berkane wanakuzabua namna hii utawezana kweli na watu walio na full facility ya soka.

Ni nani.mwingine anaye shangazwa na hawa jamaa.
Husiongee sana uzuri ya hilo group kila mtu anashinda kwake,Simba bado ana nafasi nzuri kama akiutumia vyema uwanja wa nyumbani.
 
umehamishaa mada tena kumbe content yako ni 0 shot on targert na sio kufungwa kwa al ahly?
yule mbelgiji hakukosea kuwaita mambwa mnabweka bweka
Kuna kufungwa halafu kuna kufungwa kwa style.

Ninyi mlifungwa kwa style aisee.

Hakuna timu kwenye michuano ya Caf Confederetion ikafungwa bila kuwa na shoot on target tangu mwaka 1963.
 
Uko Sahihi mkuu, mwaka huu huyo Kolo ataambulia Ile mapinduzi tu.. maana hata FA tunamtoa kikatiri hatoweza amini mwaka huu hachukiwi kombeyoyote hapa Bongo
 
Kuna kufungwa halafu kuna kufungwa kwa style.

Ninyi mlifungwa kwa style aisee.

Hakuna timu kwenye michuano ya Caf Confederetion ikafungwa bila kuwa na shoot on target tangu mwaka 1963.
kwa nyie mlivyofungwa na rivers united nje ndani na hamkupata hata kagoli
 
Back
Top Bottom