Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,045
- 10,329
Basi itapendeza zaidi wakazipaka rangi ya kijani na kuandika hapa kazi tuKauli mbiu ya "Hapa Kazi Tuu" ilikuwa ni slogan ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kama ilivyo kwa ilani ya uchaguzi ya CCM, baada ya CCM kushinda, slogan hiyo ina change hands na kuwa ni kauli mbiu ya taifa na ilani ya CCM ndio ilani ya nchi, hivyo they are right, Ukawa wakichukua nchi 2020, nao ruksa kuiandika "People's Power!".
Pasco